Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

Haujaeleweka au umeamua kupotosh
Viewes za star wakubwa wengi usa na kwingine ziko mpaka za 2billion, views za 200m ni za kawaida sana

Nadhan unazungumzia afrika

Rephrase usionekane hamnazo
Sasa amepotosha wapi wakati ndivyo wenyewe walivyoandika?! YouTube wamezungumzia wasanii wa USA (and of course na sehemu zingine duniani) wanaotaka kwenda global; sasa how come unataja Wasanii Wakubwa wakati wao wapo global?! Au unadhani Msanii akiwa US ndo automatically anakuwa global simply because yupo US?!

Bill.png
 
Mkuu, mimi siyo meneja wa youtube wala sihusiki na chochote huko BILLBOARD, nimekuletea hii ili kukufunua tu.mara nyingine ukiwa mtu wa kupinga sana ukweli ipo siku utapingana na jinsia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa amepotosha wapi wakati ndivyo wenyewe walivyoandika?! YouTube wamezungumzia wasanii wa USA (and of course na sehemu zingine duniani) wanaotaka kwenda global; sasa how come unataja Wasanii Wakubwa wakati wao wapo global?! Au unadhani Msanii akiwa US ndo automatically anakuwa global simply because yupo US?!

Safi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakenya wapo wengi lakini bado hawawezi kushindana na sisi wanaotumiza kichwa ni hawa waNaija na SA.
Kupambana na Wanaija na wa-SA sio kazi ndogo kwa sababu wote hao wana advantage ya diaspora wa kumwaga karibu kote duniani. Na kwa Nigeria ukichanganya na population yao, basi ni taabu tupu. Mbaya zaidi, both Naija na SA ni entertainment centers za Afrika! Kwahiyo mtu kama Diamond kula sahani moja na watu kama hao inaonesha wazi jinsi anavyokaza! Hiyo ni kama msanii kutoka Ufaransa kula sahani moja na wasanii wa USA; na yenyewe sio kazi ndogo!!!
 
Kweli unachosema sio kazi rahisi kupambana hii vita, Kinachotakiwa wasanii wetu wazidi kufanya kazi nzuri nakuongezajuhudi zaidi.
 
Back
Top Bottom