Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

Sio fair kabisa mbona King kaandikwa kwenye website ya WHO na FBI ila tu kwa kuwa hapendi show off kakaa kimya?
 
😂😂😂😂😂
101371531_1123004388052270_1628072967237815954_n.jpg
 
In that time, Platnumz has amassed what Meenan characterizes as a “mind-blowing” 3.6 million subscribers and 980 million views on his channel, about 80% of them from outside of Tanzania. For the measurement period of May 1, 2019, to May 1, 2020, Meenan says that, globally, Kenya, which is on Tanzania’s northern border, drove the most views for Platnumz, followed by Tanzania and the United States.

HII IMEKAA VIZURI SAN
 
@misszomboko nakubali Sana news zako by the way kupitia Mafanikio hayo ya Diamond yatachangia soko la mziki wa Tanzania kuangaliwa kwa jicho la tatu hongera Sana kwake.
 
wapiga ramli wa mondi taarifa hizi kwao ni chungu sana...

anewei endeleen kupga ramli huenda kuna siku shetani atazijibu maana mungu hua hajibu upumbavu wa wajinga
 
Back
Top Bottom