Diamond Platnumz anunua gari mpya la kifahari Bentley GT W12 ya Milioni 500

Aonyeshe massion za ukweli huko bagamoyo siyo unakaa maharage yakiungua yanamnukia jirani.
 
Namimi sihate mkuu

Ila kama ni mfatiliaji mzuri utatambua
Ni moja ya least reliable cars na inaface depression the moment inatoka dealership

Na ndo maana bei yake iko very cheap tofauti na lilivokuwa jipya

Sema kijana ana hela ataweza kulihudumia

Anyway
A bentley for 30k is a steal till you own it
Then it doesn't feel that anymore

Maneno ya wataalamu😀
 
Hiyo kasi ya 318 kph itafikiwa kwenye Barbara gani hapo Dar?
 
Mwambieni Diamond ajenge atoke kwenye kupanga aachane na haya magari kwanza,anazidiwa na Billnas na Nand
 
Hongera kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…