Diamond Platnumz anunua gari mpya la kifahari Bentley GT W12 ya Milioni 500

Diamond Platnumz anunua gari mpya la kifahari Bentley GT W12 ya Milioni 500

Naam mkuu.

Sema mtoa mada katudanganya iyo sio ya 2020.

Iyo ni second generation ya 2013 iyo.

Third gen inaanzia 2018 yenyewe moto zaidi.

View attachment 3187231
Pia naona kama bei zimeongezwa sifuri. Maana gari ya 2013 huwezi pata mpya ni used.

View attachment 3187233

TRA nao hawataki mchezo wanataka mil 120.
View attachment 3187235

Kwahiyo on average mil 250 unapata iyo chuma.

No hate na Mond wala simpingi mtoa mada, mawazo yangu tu haya.
Bro upo serious kweli au ndio Kiki za mtandaoni na umaarufu wa kupiga uongo? Bently ya mil 250??? Si bongo zingekua nyingi bro au imekua vxr ya 2016 hiyo?
Mimi sio shabiki wa mondi ila ongezea sukari kwenye chai
 
Hujui unachoongea. Kwa wenzetu kila senti unayopata na kutumia lazima utoe maelezo. Ndiyo maana hakuna michezo michafu kama hii. Siyo wivu mwanangu. Angewekeza kwenye vitu vya maana, huenda angewaajiri vijana wanaooza kwa kukosa ajira na kipato. Akina Bill Gates hawakuwekeza kama mataahira na malimbukeni wetu hata kama fedha ni yao.
Jenga hivyo viwanda kila mtu na maamuzi ya namna ya kutumia hela zake
 
Bro upo serious kweli au ndio Kiki za mtandaoni na umaarufu wa kupiga uongo? Bently ya mil 250??? Si bongo zingekua nyingi bro au imekua vxr ya 2016 hiyo?
Mimi sio shabiki wa mondi ila ongezea sukari kwenye chai
Toa tu na wewe hoja yako ya kupinga mkuu, sio generalisation... weka evidence kama ambavyo mdau kaweka..
 
Yaani TRA buana, bure kabisa...

Naam mkuu.

Sema mtoa mada katudanganya iyo sio ya 2020.

Iyo ni second generation ya 2013 iyo.

Third gen inaanzia 2018 yenyewe moto zaidi.

View attachment 3187231
Pia naona kama bei zimeongezwa sifuri. Maana gari ya 2013 huwezi pata mpya ni used.

View attachment 3187233

TRA nao hawataki mchezo wanataka mil 120.
View attachment 3187235

Kwahiyo on average mil 250 unapata iyo chuma.

No hate na Mond wala simpingi mtoa mada, mawazo yangu tu haya.
 
Hii thread ni yakawaida lakini ina-scan uelewa, exposure na mitizamo ya watu juu ya mambo na pia imeamsha hisia za watu kwa namna ambayo inafanya niwaogope wabongo si kwa roho hizi.

Kwanza kabisa mwamba hajakosea...

⚫Kwasababu katika industry ya burudani na kwa mtu anaetegemea burudani huo ndio uwekezaji wenyewe, anakua na kupanua thamani ya huduma yake kwa kuji-brand, Kwa makampuni na wadau wengine wa burudani wakimfuata kikazi dau lake linakua nono, pia anatengeneza fan base na attention kubwa kwa jamii ambao ndio mtaji... Wanakwambia muziki ni biashara, angekuwa mkulima basi angenunua tractor planters na harvesters za kutosha, ila sasa ni msanii sio mkulima.

⚫Kuna mwamba kagusia swala la spear services na maintenance kwamba kwa Tanzania ni shida... Kuna level ya mafanikio ukuifikia hivyo vitu hata huoni kama ni shida, kwa level yako sawa ila kwa tajiri kuna vitu hata havimpi shida wala havifikirii kabisa, eti swala la gari kura mafuta au spear zake sijui ni bei na mpaka aagize nje.

⚫Linapokuja suala la hobbies kila mtu anakuaga na kitu anakipenda anatamani sana kukifanya na hobby hazifanani, kuna wengine hobby zao za ajabu, zakitoto, lakini huwezi ukampangia mtu hobby yaani huwezi ukamrazimisha mtu aache kitu kinachompa fulaha yeye bali afanye kitu unachoona wewe kinafaa... Hicho kitu hakipo kitu unachopenda wewe mwingine hataki hata kukisikia.

⚫Kuhusu swala la ajira mbona mwamba anamchango mkubwa sana kwenye kwenye sector ya Habari burudani na mchezo sio Tanzania tu bali East Africa yote kupitia lifestyle yake vijana wengi wanapata contents au Habari yakuzungumzia mfano Kiki yake moja tu au mfano hiyo gari aliyonunua ndio inachangamsha social media zote afrika mashariki, youtuber na wengineo wanapiga pesa ndefu mitandaoni huko.

Kuna baadhi ya wasanii hapa nchini inapaswa serikalini iwalipe kwa kuthamini mchango wao katika kuchochea maendeleo ya nchi hususani katika tasnia/industry ya hurudani.
 
Back
Top Bottom