Diamond Platnumz anunua gari mpya la kifahari Bentley GT W12 ya Milioni 500

Mdau nakukubali sana kwenye hiki kipengele cha magari hapa jf. I wish niwe kama wewe ila kwenye upande wa ndege.
Naam mkuu.

Sema mtoa mada katudanganya iyo sio ya 2020.

Iyo ni second generation ya 2013 iyo.

Third gen inaanzia 2018 yenyewe moto zaidi.

View attachment 3187231
Pia naona kama bei zimeongezwa sifuri. Maana gari ya 2013 huwezi pata mpya ni used.

View attachment 3187233

TRA nao hawataki mchezo wanataka mil 120.
View attachment 3187235

Kwahiyo on average mil 250 unapata iyo chuma.

No hate na Mond wala simpingi mtoa mada, mawazo yangu tu haya.
 
Uko sawa ndio value yake hakuna zaidi ya hapo na ndio pesa aliyolipa
 
Back
Top Bottom