Diamond Platnumz anunua gari mpya la kifahari Bentley GT W12 ya Milioni 500

Kama kuna pesa za unga na wewe uza huo unga ununue hizo ndinga, Kama ni rahisi hivyo.

Sio unaleta wivu wa kifukara na mawazo ya kikapuku.
Hujui unachoongea. Kwa wenzetu kila senti unayopata na kutumia lazima utoe maelezo. Ndiyo maana hakuna michezo michafu kama hii. Siyo wivu mwanangu. Angewekeza kwenye vitu vya maana, huenda angewaajiri vijana wanaooza kwa kukosa ajira na kipato. Akina Bill Gates hawakuwekeza kama mataahira na malimbukeni wetu hata kama fedha ni yao.
 
Sio jukumu wala wajibu wa Diamond Platnumz kuwaajiri vijana wanao kosa ajira na kipato, Hilo ni jukumu na wajibu wa serikali. Sio mtu binafsi.

Huwezi kumpangia mtu namna ya kutumia fedha zake. Huku msaidia na wala hukuwepo kipindi anatafuta hizo hela.

Kama wewe una huruma sana na vijana wanao kosa ajira na kipato ilalamikie serikali yako, Au tumia hela zako wewe kuwaajiri hao vijana.

Sio kupangia watu wengine namna ya ku spend hela zao.
 
Ujinga. Kumbuka hao ndiyo mashabiki wake wanaomchangia
 
Kila mtu na matanuzi yake
Unafanya unachopenda zaidi.
Kama Mayweather yeye ameishatumia zaidi ya $402m kwa kununua majumba 60 mwezi wa October mwaka huu 2024
Na Xmas akajizawadia $20m za kutumia kwenye sherehe kama kujipongeza

Huyu sasa ndio anazitumia pia
Amenunua majumba mengi sana mpaka Vercase Mansion huko Manhattan kalinunua
Yaani ananunua mtaa mzima
Vijana mkipata hela mzitumie mnavyoona ni faida kwenu
 
Kwani umelazimishwa kumtetea au wewe ndiye yeye kama siyo chawa wake?
Hatetewi mtu hapa. Tuna elezana ukweli.

Wewe unahangaika kupanga matumizi ya hela za watu utafikiri ni za kwako au ulisaidia kutafuta!!

Tafuta hela zako, ukisha zipata ndipo ufanye hayo unayosema. Sio kupangia watu wengine namna ya ku spend hela walizo zitafuta wao.
 
Sio jukumu wala wajibu wa Diamond Platnumz kuwaajiri vijana wanao kosa ajira na kipato, Hilo ni jukumu na wajibu wa serikali. Sio mtu binafsi.

Huwezi kumpangia mtu namna ya kutumia fedha zake. Huku msaidia na wala hukuwepo kipindi anatafuta hizo hela.

Kama wewe una huruma sana na vijana wanao kosa ajira na kipato ilalamikie serikali yako, Au tumia hela zako wewe kuwaajiri hao vijana.

Sio kupangia watu wengine namna ya ku spend hela zao.
Pole sana mkuu, ulichoandika ni upuuzi mkubwa sana. Samahani kwa kuingilia mazungumzo yenu.
 
Back
Top Bottom