Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo

Nafikiri kakodisha ndio maana kasema to get na sio to buy.
Au ni uhater wangu tuu unanisumbua.
 
Ungesema tu Diamond kanunua ndinga kama ya Masudi Kipanya ni karibu zaidi, Ronaldo yuko mbali sana proly alinunua gari kama hii 10yrs ago!
 
Hongera kijana jikite huko kuna kufaa zaidi nampenda mondi msanii wa kimataifa wa sana ya muziki na simpendi mondi mwanasiasa namchukia mnoo
 
Kumbe ujanielewa,naposema kuwekeza kwenye Elimu sio kujiendeleza Bali ni kufungua shule au chuo cha muziki.
Sasa vimsaidie nini au hao waliowekeza huko wana nini maana target ya kila mtu ni kuachieve good life.
Km vipi wewe ndo unapaswa ukawekeze kwenye huo ufala acha kijana mwenzio awekeze kwenye magari.
 
Mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki baada ya kushambuliwa sana na mitandao ya kijamii wiki jana na mwanzoni mwa wiki hii ameamua kujipoza na ndinga kali yenye hadhi ya kimataifa.

Kwa nini 'kama ya Ronaldo' ilhali hizo ndinga nyingi zipo Bongo....Sema kanunua ndinga kama ya baba Askofu Gwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…