miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
hongera domo ,, ila kaa mbali na siasa plz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu hizi hizi za kina profesa lipumba? Doctor mwakiembe, doctor mkuu?
Sio lazima afuate ushauri.Ok, mpangie sasa na jinsi ya kutafuta hizo pesa, mana umeweza kumpangia namna ya kutumia alizotafuta yeye.
Yeye amesoma!!?Sivyo Madam,Bali ni uwekezaji wenye tija kwa kizazi kijacho na Taifa.
Haiwezekani msanii mkubwa kama hiyo ajafikilia kuwezekeza walau chuo cha muziki.
Una ushahidi Mkuu? .Freemason hao
Very true mkuuKumbe ujanielewa,naposema kuwekeza kwenye Elimu sio kujiendeleza Bali ni kufungua shule au chuo cha muziki.
After all sio role model wangu,role model wangu ni Issa Shivji,Jakaya Kikwete na the like.
Mwache azitumie hela bwana kazihangaikia sana kutoka kubeba mizigo stesheni kigoma hadi kuwa kimataifa...
HUGE RESPECT MY BOSS
Tumeiona mkuu ila hata mm huku manyon nna corolla gx 100 old model maisha yanaenda tu
Elimu inakusaidia nini kijana hususani hii ya makaratasiBadala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
Sasa vimsaidie nini au hao waliowekeza huko wana nini maana target ya kila mtu ni kuachieve good life.Kumbe ujanielewa,naposema kuwekeza kwenye Elimu sio kujiendeleza Bali ni kufungua shule au chuo cha muziki.
Nafikiri kakodisha ndio maana kasema to get na sio to buy.
Au ni uhater wangu tuu unanisumbua.
Kwa nini 'kama ya Ronaldo' ilhali hizo ndinga nyingi zipo Bongo....Sema kanunua ndinga kama ya baba Askofu GwajimaMwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki baada ya kushambuliwa sana na mitandao ya kijamii wiki jana na mwanzoni mwa wiki hii ameamua kujipoza na ndinga kali yenye hadhi ya kimataifa.
Elimu ipi, hiyo hujuwi kuwa ni elimu pia.......acha kukariri!!!!!Badala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
acha wivu mwanaume,Kama anadhani ana mjibu Gwajima atakaukiwa hivyo vihela vya show za nguvu bureee.
Nimetoa mtizamo wangu.acha wivu mwanaume,