abuu garcia
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 227
- 405
Ww si ajabu hata baiskel hauna ,wivu mshenzi tuu, waache wenye kumwabudu wamwabudu kwani unawabeba mgongoni???!!!!Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
hiyo nyumba haiko na space na kitchen ndogo ya kizamani choo za kishamba zile za sinki lakini unachuchuma wakati wa kukata gogo.kwa kifupi kashikishwa.Sisi me weye mtu hani Kwa lugha nyingine kizuri ni kibaya Na kibaya sio kizuri mmmmmmmm hatareeee
ukiangalia vizuri utaona haina space out side.kashikwaHiyo Nyumba haifiki mil 100,nyumba ya mil 60 eti imekuwa 100?Tena hata 60 sidhani Kama inafika.
Sasa kiba amekusikia, wewe kiba wewe hayaApo tu ndo napochoka na wasanii wetu nyumba zao azina ata maali ya kuotesha maua ni parking ikizidi sana swiming pool ukuta uko ziro distance na dirisha aaah! Bora ununue shamba la m100 ujenge nyumba ya m 20
Diamond nyumba zake zote zimekaa kiswahili ila mswahili ni mswahili tu
Sawa kakake Na kiba tumekusikia, kunywa maji roho yako itulieUmasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Ndg bado hujaacha kula miraa..... nyumba ni mpya kwa mnunuziHii Nyumba sio mpya, imeshatumika tayari!
Kumbuka ni msani lazima aweke some usanii kunogesha uhalisia..Milioni mia mbona havifanani au ndo kulalia
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
nimecheeeka had bc[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Apo tu ndo napochoka na wasanii wetu nyumba zao azina ata maali ya kuotesha maua ni parking ikizidi sana swiming pool ukuta uko ziro distance na dirisha aaah! Bora ununue shamba la m100 ujenge nyumba ya m 20
Diamond nyumba zake zote zimekaa kiswahili ila mswahili ni mswahili tu
Sasa nyumba sio fursa mkuu?!afungue macho kwenye fursa zingine za kumwingizia kipato kama biashara, awekeze kwenye vitu ambavyo hata mjukuu atakuja kula na kumkumbuka babu yake.
Unazo ngap km hizo?Pia weka tra kodi yetu alio lipa kwenye manunuz ya 100. Heshima inakuja kwakulipa kodi Tra
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Hata mi hapo napata ukakasi. Hii ndo nyumba ya million 100?Milioni mia mbona havifanani au ndo kulalia
Sasa unataka aishi kimerekani kama wewe?Apo tu ndo napochoka na wasanii wetu nyumba zao azina ata maali ya kuotesha maua ni parking ikizidi sana swiming pool ukuta uko ziro distance na dirisha aaah! Bora ununue shamba la m100 ujenge nyumba ya m 20
Diamond nyumba zake zote zimekaa kiswahili ila mswahili ni mswahili tu
Inawezekana ipo bondeni au bagamoyoMkuu hujui kwamba bei inategemea vitu vingi, mfano eneo iliopo