Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Apo tu ndo napochoka na wasanii wetu nyumba zao azina ata maali ya kuotesha maua ni parking ikizidi sana swiming pool ukuta uko ziro distance na dirisha aaah! Bora ununue shamba la m100 ujenge nyumba ya m 20
Diamond nyumba zake zote zimekaa kiswahili ila mswahili ni mswahili tu
 
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Ww si ajabu hata baiskel hauna ,wivu mshenzi tuu, waache wenye kumwabudu wamwabudu kwani unawabeba mgongoni???!!!!
 
Sisi me weye mtu hani Kwa lugha nyingine kizuri ni kibaya Na kibaya sio kizuri mmmmmmmm hatareeee
hiyo nyumba haiko na space na kitchen ndogo ya kizamani choo za kishamba zile za sinki lakini unachuchuma wakati wa kukata gogo.kwa kifupi kashikishwa.

swissme
 
Apo tu ndo napochoka na wasanii wetu nyumba zao azina ata maali ya kuotesha maua ni parking ikizidi sana swiming pool ukuta uko ziro distance na dirisha aaah! Bora ununue shamba la m100 ujenge nyumba ya m 20
Diamond nyumba zake zote zimekaa kiswahili ila mswahili ni mswahili tu
Sasa kiba amekusikia, wewe kiba wewe haya
 
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Sawa kakake Na kiba tumekusikia, kunywa maji roho yako itulie
 
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.

Let us be happy for his achievements, he is a young talented singer who comes from a very humble background. I'm sure the day will come when he will own a house in Masaki or Oysterbay and he will share that news with us.
 
Apo tu ndo napochoka na wasanii wetu nyumba zao azina ata maali ya kuotesha maua ni parking ikizidi sana swiming pool ukuta uko ziro distance na dirisha aaah! Bora ununue shamba la m100 ujenge nyumba ya m 20
Diamond nyumba zake zote zimekaa kiswahili ila mswahili ni mswahili tu

Kama unaona uswahili zambi mbona we unaandika Kiswahili humu? Wabongo kwa kujitekenya Kama we nyumba unayoishi umepanda maua!
 
Pia weka tra kodi yetu alio lipa kwenye manunuz ya 100. Heshima inakuja kwakulipa kodi Tra
Unazo ngap km hizo?
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
 
Hata km imeshatumika ni ya kwake we ya kwako isotumika iko wapi!! Congrats baba tiffah ww ni mfano mzuri wa kuigwa kw 7bu wengine hata kibanda cha nyasi hawana kazi povu tyu wameumbwa kutosaport wenzao hata wakifanya kitu kizuri
 
Apo tu ndo napochoka na wasanii wetu nyumba zao azina ata maali ya kuotesha maua ni parking ikizidi sana swiming pool ukuta uko ziro distance na dirisha aaah! Bora ununue shamba la m100 ujenge nyumba ya m 20
Diamond nyumba zake zote zimekaa kiswahili ila mswahili ni mswahili tu
Sasa unataka aishi kimerekani kama wewe?
Mijutu mingine bhana.
 
Back
Top Bottom