Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Acheni wivu wakuu, yeye kanunua nyumba kulingana na uwezo wake na yeye kwa sasa ndio msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko wote.
Mtu anaandika "oh nyumba hata sio hata ya mil 100"
Sasa wewe jenga nyumba yako hiyo ya mil 60 alaf uza kwa mil 60.1 jinga weh! Watu wanafanya biashara
hiyo ni win-win situation, kufuatilia ujenzi ni shida bora kununua ready made
 
Dah ivi kwanini hua wasanii hawaoni mbali kha! hua siku zote najiuliza suala la showoff maigambo masifa kwanini linachukua nafasi kubwa saana kwa watanzania? tunawapita mpaka waliozoea maisha hayo Wacongo? natamani siku moja nione DIAMOND spring water/DIAMOND appartment to let/DIAMOND unga safi wa ugali/DIAMOND mango juicy/DIAMOND cargo we transport country wide/DIAMOND petrol stations/DIAMOND full furnished appartments country wide/DIAMOND milk/Chocolate/DIAMOND plastic materials/ etc etc na kwa wengine dah mtu anakua amesecure future yake milele hata siku akiamua acha mziki powah tu!

Uliza uambiwe. Diamonds ameinvest sana kwenye real estate, ananyumba nyingi amepangisha. Si bure na hii amenunua ili aipangishe.
 
hebu tuwekee jumba lako la kifahari tulione
Niliweke hapa kwani mimi superstar? by the way sijasema nyumba mbaya wala kuwa mimi niko na nzuri zaidi ya hiyo. mimi nimeshangaa tu thamani ya nyumba na nyumba yenyewe.
 
Wakina jux wana ma hekalu ya maana wametulia, hyu cheusi dawa kanunua nyumba ya kawaida hatupumui
Loh, do you know how many houses Diamond owns? Just because he has posted this one does not mean ndio anaanza. Embu ulizeni muanmbiwe. Hao akina Jux ni mziki tuu ndio umewalipa? Huyo Jux unaeza ukute anahekalu but thats all he has. Diamond ukijumlisha all his investments hao wenye mahekali hawamfikiii.
 
weka picha ya nyumba yako hapa tuione
images-6.jpeg

hiyo.

swissme
images-6.jpeg
 
Kununha nyumba ni jambp zuri ila hiyo nyumba ka ni 100m haina value for money kabisa.
 
Kununha nyumba ni jambp zuri ila hiyo nyumba ka ni 100m haina value for money kabisa.
sister ukisoma habari kwenye vyanzo vya hivi (visivyoaminika ) na wewe kama unautaka uhakika unaishughulisha akili yako. Hii kitu kaiweka DIAMOND kwenye page yake ya insta na hakutaja ni kiasi gani amenunua
 
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Nenda wewe kanunue pale alipo nunua kwanza yeye hajatamba na kwa kibongo bongo kuwekeza katika nyumba inalipa
 
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Kwli mkuu kwa hadhi ya diamond bado cjamuelewa kbsa nyumba zke za kawaida sna kwa hadhi yke lol!!!but hongera zke!!!!
 
Hiyo Nyumba haifiki mil 100,nyumba ya mil 60 eti imekuwa 100?Tena hata 60 sidhani Kama inafika.
Kuna mwaka pale Mabibo nyumba ilikuwa inauzwa Million 3 watu wakadengua kununua sahizi ile nyumba mwenye nyumba kauza Million 100! Bila Longo longo
 
sister ukisoma habari kwenye vyanzo vya hivi (visivyoaminika ) na wewe kama unautaka uhakika unaishughulisha akili yako. Hii kitu kaiweka DIAMOND kwenye page yake ya insta na hakutaja ni kiasi gani amenunua
Nashukuru kwa mwongozo.....tatizo mie mambo ya insta sina wala facebook . kwa hiyo hizi mada za wasanii inakuwa nadra kuzifwatilia.
 
hiyo nyumba haiko na space na kitchen ndogo ya kizamani choo za kishamba zile za sinki lakini unachuchuma wakati wa kukata gogo.kwa kifupi kashikishwa.

swissme
Umeionaje ndani hiyo nyumba akati imepigwa picha nje tuuuu! Wabongo bhna yeye anawekeza katika nyumba na nyumba nzuri ya kuishi anayo ambayo wewe huna hizo zingine za ziada tuuu
 
Umeionaje ndani hiyo nyumba akati imepigwa picha nje tuuuu! Wabongo bhna yeye anawekeza katika nyumba na nyumba nzuri ya kuishi anayo ambayo wewe huna hizo zingine za ziada tuuu
Mkuu Kuna watu wanajifanya wanajua kuuliko aliefanya, Diamond tayari anayo nyumba anaishi, hakuna anaejua lengo la kuinunua hiyo nyumba. Anataka kuweka ndugu zake, kupangiasha, kuifanya ofisi ama nini.
 
Ni kweli mkuu yeye hajasema na Diamond sio nyumba ya kwanza hiyo kununua ana nyumba nyingi na alisha sema yeye kuwa atawekeza katika nyumba na ni kweli hamna uwekezaji unao lipa kama wanyumba mkuu! Ukiwa na Nyumba tano umepangisha hat kama kwa mwezi ni Laki 8 kwa nyumba tano atakuwa na million 4 kila mwezi! Hicho kiwango cha chini!

Kajenga studio ya WCB NA OFISI KUBWA ZIPO PALE KAAJILI VIJANA WAKUTOSHA NA SAHIZI ANATANGA AJIRA KWA VIJANA.....KAAJIRI ZAIDI YA VIJANA 10 lakini watu hilo hawaoni eti! Kununua nyumba hata kama ni mbeya huwezi jua lengo lake
 
Back
Top Bottom