Diamond Platnumz arekodi ngoma na Wiz Khalifa

Timu kiba walivyo na wivu wanakuja hapa na madongo
 
Anarekodi na wastaafu tu, ni kama utoke Kenya au Nigeria uje kurekodi na Inspekta Haroun, Soggy Doggy au Mabaga Fresh na Wagosi wa Kaya...aangalie wenzake akina Burna Boy, Wizkid wanapiga kolabo na wasanii wanao hit sasa hivi🤣
 
Anarekodi na wastaafu tu, ni kama utoke Kenya au Nigeria uje kurekodi na Inspekta Haroun, Soggy Doggy au Mabaga Fresh na Wagosi wa Kaya...aangalie wenzake akina Burna Boy, Wizkid wanapiga kolabo na wasanii wanao hit sasa hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…