Diamond Platnumz arekodi ngoma na Wiz Khalifa

Hauko seriously mzee
 
Huogopi kumuita dogo?ht hushtuki yaan!
 
Anarekodi na wastaafu tu, ni kama utoke Kenya au Nigeria uje kurekodi na Inspekta Haroun, Soggy Doggy au Mabaga Fresh na Wagosi wa Kaya...aangalie wenzake akina Burna Boy, Wizkid wanapiga kolabo na wasanii wanao hit sasa hivi🤣
Unamjua wizz khalifa...?
 
Unamjua wizz khalifa...?
Ni msanii mkongwe wa nchini marekani wa nyimbo za kufoka foka aliyetamba kwa kiwango cha kati, mwaka 2008 mpaka 2014...hajawahi kushinda hata Grammy moja ...ashukuru wimbo wake ule wa see you again ndio anapata kuonekana kwenye billboard mara moja moja ukitokea msiba unaowagusa wamarekani. Kuna swali lingine ?
 

Hivi si itakuwa ndio idadi ya watu wote duniani au?
 
Ok, alitamba kwa kiwango cha kati, ok sawa sina swali jingine
 
Kumbe Wiz Khalifa ana height kiivyo.
By the way mabangi Ft Diamond Platnumz lets wait and see
 
Wiz khalifa amenenepa sana hahaaa au wiz khalifa rapa? Akipiga korabo na The Weeknd nistue.
 
Dah huyu Alisha chuja, Diamond anatakiwa kukutana na wasanii walio pick sasa huyu Wizzy dah...

Diamond anatakiwa atoe ngoma Kali na wasanii wanao hits kwa sasa

Sadala huwa hana timing, anaokoteza walio nje ya mchezo na hajifunzi…. Omarion, Ne-Yo, Morgan Heritage na hata Rick Ross tu.[emoji276]
 
Anarekodi na wastaafu tu, ni kama utoke Kenya au Nigeria uje kurekodi na Inspekta Haroun, Soggy Doggy au Mabaga Fresh na Wagosi wa Kaya...aangalie wenzake akina Burna Boy, Wizkid wanapiga kolabo na wasanii wanao hit sasa hivi[emoji1787]


Mna mawazo yanayorandana sana yaani, zaidi ya copycats…. NYIEEEEE!![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Reactions: Qwy
Hivi ukienda studio, ukamkuta msanii ukapiga naye picha maana yake umerekodi naye wimbk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…