Diamond Platnumz ashinda tuzo tatu AFRIMA

hongera kwake,but hizi tuzo si zilitolewa US hapa karibuni tu,na muandaaji ni yule yule.hawa wapopo wanatuchezea akili sasa
 
Yaani ni week na masiku kadhaa ndo nimeingia Leo humu. I miss u.
Miss you too... mimi siku mbili tatu zilizopita niligelezea kuwa bize sema ndo vile tena; mambo ya kuigiza sio kabisa manake ingawaje na leo nilitaka kuigiza ubize nikajikuta nashinda JF baada ya kuwa excited na Trump!!
 
Hahaha, JF is a place to missed, basi sawaaa tukutane chemba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…