babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
hongera kwake,but hizi tuzo si zilitolewa US hapa karibuni tu,na muandaaji ni yule yule.hawa wapopo wanatuchezea akili sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaahBelieve me Kiba anasafiria nyota ya Diamond na ashukuru media, Kiba angekuwa mtu wa shukrani alitakiwa kile anachokipata amplekee Diamond kiasi.
Sasa mombasa pekee? wenzake wanafanya nchi zote za east africakwa hiyo Mombasa ipo west Africa? .
TAWILEHuyu Diamond anamloga Ali Kiba asipate tuzo.
Ha ha ha ha ha ha ha haAli Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
Mungu anakuonaAli Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
hivi Balozi hakuna nominated?team balozi kwa mara nyingine tena chali chali kabisa,nyang'anyang'a ndembe ndembe mlalo wa chali kifo cha mendeeeee.Kweli Mondi ni Simba na Kiba ni Swala
Mtoto mzuri kuliko wote JF umeadimika ile mbaya... why?! Ndo unataka kujifanya upo busy sana, au?!Hongera Nassibu
Yaani ni week na masiku kadhaa ndo nimeingia Leo humu. I miss u.Mtoto mzuri kuliko wote JF umeadimika ile mbaya... why?! Ndo unataka kujifanya upo busy sana, au?!
Miss you too... mimi siku mbili tatu zilizopita niligelezea kuwa bize sema ndo vile tena; mambo ya kuigiza sio kabisa manake ingawaje na leo nilitaka kuigiza ubize nikajikuta nashinda JF baada ya kuwa excited na Trump!!Yaani ni week na masiku kadhaa ndo nimeingia Leo humu. I miss u.
Hahaha, JF is a place to missed, basi sawaaa tukutane chemba.Miss you too... mimi siku mbili tatu zilizopita niligelezea kuwa bize sema ndo vile tena; mambo ya kuigiza sio kabisa manake ingawaje na leo nilitaka kuigiza ubize nikajikuta nashinda JF baada ya kuwa excited na Trump!!