mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Kunataarifa Nazidi Kuziskia zikitangazwa kuwa Eti kesho nitakuwa Uwanja wa Taifa kwenye hafla ya Team Ya Simba....SI
KWELI!!! NI UONGO!!! Kesho Nitakuwa MWANZA CCM Kirumba kwenye Tamasha la FIESTA!...
teamndomo wapi!?
We kweli ni amnazo simba wanatafta kick kwa diamond..?diamond yupo unaemuongelea labda,kama ni huyu wa tandale jipange upya,simva sio manyema fc...!!
diamond ndio nani jamani acheni majungu
Simba wanatafuta kiki?hebu ngoja nikagonge supu kwanza vinginevyo sijaelewa bado.
Diamond anatafuta kiki kupitia Simba.
Simba wanatafuta kiki kupitia Diamond...hela ya kumpa apige show hawana halafu wanatangaza atakuwepo....
Chezea kujaza watu uwanjani.......wamualike tu msaga sumuuu...
Wanashindwa kuwalipa mishahara kwa wakati wachezaji wao ndio wataweza kumlipa mil 12 diamond ya kuperform.saizi yao ni Ali kiba yule hata laki 5 anakubali
Yaani diamond na simba nani maarufu..?! Acheni ujinga hamna mtu au kitu kitakuja kuwa maarufu zaid ya simba na yanga