mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Kunataarifa Nazidi Kuziskia zikitangazwa kuwa Eti kesho nitakuwa Uwanja wa Taifa kwenye hafla ya Team Ya Simba....SI
KWELI!!! NI UONGO!!! Kesho Nitakuwa MWANZA CCM Kirumba kwenye Tamasha la FIESTA!...
Hhii ni post aliyoweka jana kwenye account yake ya Facebook.....Kwa kweli ni aibu kwa club kongwe kama Simba kufanyia uhuni wasanii wetu,uku ni kutafuta Kick kupitia majina ya wasanii kuvuta watu kwenye tamasha lao.