Diamond Platnumz asikitishwa na uzushi wa Simba SC

Diamond Platnumz asikitishwa na uzushi wa Simba SC

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Kunataarifa Nazidi Kuziskia zikitangazwa kuwa Eti kesho nitakuwa Uwanja wa Taifa kwenye hafla ya Team Ya Simba....SI
KWELI!!! NI UONGO!!! Kesho Nitakuwa MWANZA CCM Kirumba kwenye Tamasha la FIESTA!...

Hhii ni post aliyoweka jana kwenye account yake ya Facebook.....Kwa kweli ni aibu kwa club kongwe kama Simba kufanyia uhuni wasanii wetu,uku ni kutafuta Kick kupitia majina ya wasanii kuvuta watu kwenye tamasha lao.
 
Simba walisema still wako kwenye mazungumzo nae, apige shoo upande mmoja asubuhi, akwee pipa, apige upande mwingine jioni au usiku.
 
We kweli ni amnazo simba wanatafta kick kwa diamond..?diamond yupo unaemuongelea labda,kama ni huyu wa tandale jipange upya,simva sio manyema fc...!!
 
Mleta mada ni mdogowe mzee Akilimali,sioni ajabu na huu ushuzi aliojamba hapa...
 
We kweli ni amnazo simba wanatafta kick kwa diamond..?diamond yupo unaemuongelea labda,kama ni huyu wa tandale jipange upya,simva sio manyema fc...!!

We mtoto wa masaki mbona hata hujapewa mwaliko...walau tu ukae jukwaa kuu..

Na bado mtatafuta sana kick kupitia mtoto wa Tandaleeee.....
Nyota yake inang'aa ng'ari ng'ariiii....

Hao Simba hawana tofauti na Manyemaaaaa

#team Azam....haaaaaa (Docta usisome hapa tafadhali)
 
Kwani Simba SC nao wanaimba wanaimba bongo flava siku hizi? Kweli mabadiliko yanaonekana sasa, naona wanataka kutoa collabo na Diamond.
 
Simba wanatafuta kiki?hebu ngoja nikagonge supu kwanza vinginevyo sijaelewa bado.
 
Diamond anatafuta kiki kupitia Simba.

Simba wanatafuta kiki kupitia Diamond...hela ya kumpa apige show hawana halafu wanatangaza atakuwepo....
Chezea kujaza watu uwanjani.......wamualike tu msaga sumuuu...
 
Simba wanatafuta kiki kupitia Diamond...hela ya kumpa apige show hawana halafu wanatangaza atakuwepo....
Chezea kujaza watu uwanjani.......wamualike tu msaga sumuuu...

Wanashindwa kuwalipa mishahara kwa wakati wachezaji wao ndio wataweza kumlipa mil 12 diamond ya kuperform.saizi yao ni Ali kiba yule hata laki 5 anakubali
 
Wanashindwa kuwalipa mishahara kwa wakati wachezaji wao ndio wataweza kumlipa mil 12 diamond ya kuperform.saizi yao ni Ali kiba yule hata laki 5 anakubali

Sure...Dai level nyingine, hawamuwezi.
Washazoea mazengwe yao hukooo wanataka kumletea zengwe na Diamond..

Halafu hawa si ndo walimsainisha mchezaji mkataba feki hotelini? Wazee wa kiki...
 
Yaani diamond na simba nani maarufu..?! Acheni ujinga hamna mtu au kitu kitakuja kuwa maarufu zaid ya simba na yanga
 
Yaani diamond na simba nani maarufu..?! Acheni ujinga hamna mtu au kitu kitakuja kuwa maarufu zaid ya simba na yanga

Hii ndio point ya maana katika hii thread,hakuna mtanzania asiyejizua simba & yanga,huyo ndomo wa juzi tu
 
Back
Top Bottom