Diamond Platnumz: Aslay angekuwa chini yangu angefika mbali zaidi

Diamond Platnumz: Aslay angekuwa chini yangu angefika mbali zaidi

Sasa huyo Aslay pamoja na kutoa hits nyingi chini ya Meneja Maneno alipata kitu gani?

Sasa kaenda kusaniwa Rocstar huko ndio , hawana msihala, Barakha da Prince kanyang'anywa mpaka account yake ya Youtube.
Hiv hiyo mikataba wanasain wakiwa walev au???
 
Hiv hiyo mikataba wanasain wakiwa walev au???
Hata uwe mkavu haimaanishi kwamba utaijua sheria. Tatizo moja hawataki kugawa riziki kwa wanasheria, sasa kama Aslay najua hana hela kivile, ila kwenye digital platforms hakosi 2-3m kwa mwezi, angetumia hata 1 or 2m kumpa Mwasheria amfafanulie vifungu vya kwenye mkataba.
 
Hiv hiyo mikataba wanasain wakiwa walev au???
Mkuu njaa haina baunsa, hata walioko makazini wakishakusanya mitaji na kuwekeza nje ya ajira ndio huanza kuhisi wananyonywa na kupondea ajira ila kipindi mtu na njaa zake kashaenda DODOMA kufanya interview kama 10 na hachoki ikibidi anakopa ili apate ajira tu.

Kushiba ndio kunaletaga kiburi na majivuno.
 
Back
Top Bottom