Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Kwenye Bei umetudanganya mzee
 
Gari yenyewe nasikia used alikuwa anaitumia Snoop Dogg ndio amemuuzia siku ile wanapiga picha tena bado anamdai 🤣🤸🐒
Snoop gari zake sio dizaini hii kabsaa,huwa ananunua migari ya maana iliyotamba zamani anaipimp kila kitu chata jina lake.
SUV hana hata moja.
 
Acha wateseke hiyo Rolls Royce ni hatari sana engine yake CC 6750 kubwa kama Lori Gear 9 bei USD 300,000 mpaka laki 800,000 issue ya tyre sports rims tyres zake ziko hivyo kama zimetumika lakini ubora ni wa juu sana.Documents mtaonyeshwa nyie chawa hacheni wivu wa kike
 
Tumepigwa[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…