Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Hyo picha we umeitoa wapi, ni gari gani hii....tunaomba picha nzima ya gari yake sio huu ujinga wa picha umeokoteleza Kwa wapuuzi akina carry mastory
Watu wachawi sana, ukiangalia post original tyre zote mpya kabisaa.. watu wanezidisha kukalia πŸ–•πŸ–•πŸ–• sana
 
Mliosema oh Dogo muongo hana hela semeni jingine! Kampuni kama WASAFI MEDIA uwe na shares 45% ushindwe kununua gari ya billion moja si utakuwa kichaa! Biashara inayoingiza millions za kueleweka kila siku kupitia content na matangazo like Yow! Tangazo moja tu la sauti kwa sekunde 30 linanunua IST mpya Japan kwa siku yapo mangapi?

Dogo hana hela shenziii type! Semeni jingine mtu ana endorsements kama zote kampuni kubwa tofauti bado shows na Youtube contents wanamlipa! Achen masihara..Its hard to be a hater kwa mtu kama Diamond!

Dogo ni money making genius japo aliishia form 4 truth to be said!
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…