Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Kuhusu kids 100%. Sema inaonekana wamekubalia kuishi ile wanaita mahusion open.. hakuna kubanana banaa.. sidhani kama mondi anakaa siku zote bila kukinukisha na hata kwa zari ngumu kukaa mda wote bila kukiwashaa.. ila wanaendana sana.. licha ya hivyo Zari chombo
Huyo zari umewahi kumuona live ila sura kwa sura ?

Yule Dem hata Kitaani kwetu Kuna madem kibao wanamzidi. Kwa kifupi Hana maajabu
 
Kigogo kasema eti tairi ziko kipara 😂

Haters hawapendi maendeleo ya watu.

Huyo zari umewahi kumuona live ila sura kwa sura ?

Yule Dem hata Kitaani kwetu Kuna madem kibao wanamzidi. Kwa kifupi Hana maajabu
Sasa mkuu, macho yangu na yako tofaut. Mie ninachotazama kwa Zari ni tofauti na unachotazama
 
Achana na habari za Live au Insta mkuu, mie ninachokitaka kwa zari kipo that why nina mkubalii.. macho hayapo sawa.. sio kumuona tu nilisha shikana nae kabisa mikono
Unazunguka Sana , ungejibu tu swali langu ndio au hapana.

Hayo mengine Ni nonsensical kwangu.
 
Hahahaha wanasema Tairi kipara,wadau wa jamhuri ya Twitter wanasema sio jipya,Mmepigwa.
20210714_221853.jpg
 
.

Kauvaa mkenge wa Wamarekani.

😂😂😂😂😂😂

Nasikia gari yenyewe feki halafu kanunua kwa mkopo anadaiwa hela na Snoop Dogg..wamarekani wamemtapeli mtoto wa tandale😂
 
Back
Top Bottom