lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Huyo zari umewahi kumuona live ila sura kwa sura ?Kuhusu kids 100%. Sema inaonekana wamekubalia kuishi ile wanaita mahusion open.. hakuna kubanana banaa.. sidhani kama mondi anakaa siku zote bila kukinukisha na hata kwa zari ngumu kukaa mda wote bila kukiwashaa.. ila wanaendana sana.. licha ya hivyo Zari chombo
Yule Dem hata Kitaani kwetu Kuna madem kibao wanamzidi. Kwa kifupi Hana maajabu