Diamond Platnumz aumbuka, azuiwa kupanda Jukwaa Kuu

Diamond Platnumz aumbuka, azuiwa kupanda Jukwaa Kuu

Halafu kaimba vibaya na ma play-back yake. Kiba kaimba vizuri sana. Konde boy pia kaimba vizuri.
Diamond kapayuka payuka tu.
Kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!

Na Alikiba ni nani kwenye huu muziki wa Bongo fleva DRC tu hapo anaweza kwenda kuimba na akapata watu?
 
Huyu Diamond nae ni mpuuzi.
Hivi anaona pale jukwaa kuu kama jukwaa la wasafi festival.

Mlinzi wa kwanza kakaza , anaenda kwa mwengine[emoji2][emoji2] hopeless kabisa

Lazima mualikwa ujue mipaka yako kwenye shughuli husika
 
Alafu eti kakataliwa kule kaenda kumuomba jamaa wa pili kwa ishara kabisa, kakataliwa eti “ok”
 
Alafu eti kakataliwa kule kaenda kumuomba jamaa wa pili kwa ishara kabisa, kakataliwa eti “ok”
Ni mzembe sana jamaa. Hivi hawa wanawachukuliaje viongozi wa kitaifa aisee.

Pale jukwaani yupo mkuu wa nchi, na viongozi wengine waandamizi wa nchi, hivi anadhani lile jukwaa unapanda tu kama ngazi. Diamond kachemka sana
 
Kikwete aliwazoesha vibaya hayo matoto. Wanaleta mazoea ya awamu ya 4, wakati wenzao awamu ya 5 wana kazi 1 tu, nayo ni kujenga nchi. Sasa mond yeye anakazana na miuno tu.
 
Back
Top Bottom