Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!Halafu kaimba vibaya na ma play-back yake. Kiba kaimba vizuri sana. Konde boy pia kaimba vizuri.
Diamond kapayuka payuka tu.
MtamaHuyo baunsa amekosea angemtandika na kofi la usoni ili kujipendekeza aache.
Huyu Diamond nae ni mpuuzi.
Hivi anaona pale jukwaa kuu kama jukwaa la wasafi festival.
Mlinzi wa kwanza kakaza , anaenda kwa mwengine[emoji2][emoji2] hopeless kabisa
Lazima mualikwa ujue mipaka yako kwenye shughuli husika
Ni mzembe sana jamaa. Hivi hawa wanawachukuliaje viongozi wa kitaifa aisee.Alafu eti kakataliwa kule kaenda kumuomba jamaa wa pili kwa ishara kabisa, kakataliwa eti “ok”
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Halafu kuna mtu anakwambua wale wauza mahindi sio usalama..
Kama mondi haweza kumsogelea mkuu wauza mahindi ndio wataruhusiwa??
Halafu kaimba vibaya na ma play-back yake. Kiba kaimba vizuri sana. Konde boy pia kaimba vizuri.
Diamond kapayuka payuka tu.
pesa mbona wanazo kwanini wasitafute vocal training?Hawawezi imba live
Mlinzi yoyote angemruhusu ndio ilikuwa bye bye kumlinda mkulu tenaAlafu eti kakataliwa kule kaenda kumuomba jamaa wa pili kwa ishara kabisa, kakataliwa eti “ok”
pesa mbona wanazo kwanini wasitafute vocal training?
Wamejikita kwenye mazoezi ya kucheza na kusahau mazoezi ya sauti na pumzi.ndio hapo sasa
Daudi Mchambuzi Kwa Mara ya kwanza leo umeongea pointWamejikita kwenye mazoezi ya kucheza na kusahau mazoezi ya sauti na pumzi.