Diamond Platnumz awa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views Milioni 900 YouTube

Diamond Platnumz awa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views Milioni 900 YouTube

Jana tu nilikuwa naangalia tena views ya wimbo huu na kujisikia fahari views milioni 73 haijapata kutokea kwa Tanzania :
Innoss'B Ft Diamond Platnumz - Yope Remix (Official Music Video)
73,959,730 views

 
Harmonize Ft Diamond Platnumz - Kwangwaru (Official Music Video)
60,414,157 views
 
Diamond Platnumz ft Morgan Heritage - Hallelujah (Official Video)
11,965,649 views
 
Diamond Platnumz mkakati wake ni wa kidunia yaani siyo wa kimtaa au kikanda ni wakuigwa siyo tu na wasanii bali hata wafanyabishara wanaotaka kujitanua kiulimwengu products zao ziwe ngano, korosho n.k inabidi watue Wasafi Records label wakutane na timu nzima ya kina Diamond, Sallam, Babu Tale na mtu mzima diwani Mkubwa Fela & co. wapate somo.
 
Diamond Platnumz - Marry You ft. Ne-Yo
41,050,560 views
 
March 7, 2020
Seestrasse 27, 8002 Zürich,
Switzerland

Diamond Platnumz - FIFA MUSEUM ( PART 2 )

 
March 7, 2020
Seestrasse 27, 8002 Zürich,
Switzerland

Diamond Platnumz - FIFA MUSEUM ( PART 1)

 
Back
Top Bottom