Diamond Platnumz awa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views Milioni 900 YouTube

Diamond Platnumz awa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views Milioni 900 YouTube

Uko sahihi mzee nimecheck wimbo una viewers zaidi ya mil 260 subscribers 9.5m

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna moja una 811 milion
Bado kuna msanii mwingine anaitwa MOAHAMED RAMADHAN naye ana Watazamaji 2.5billion na wafuatiliaji 8.5million huyu ni wa misri .

Kwa ufupi kwa ma black wa africa Diamond anaongoza kila mahali kuanzia Ista na yuotube
 
Statistics za YouTube
DiamondYoutube.jpg

Statistics za Instagram
DiamondInstagram.jpg
 
Hapo utakuta na alizoshirikiwa nazo wamezihesabu km zake..

Yope
Kwangaruu
Nk nk nk
 
Najua waKimataifa Diamond Platnumz na team yake nzima ya kina Sallam & co. chini ya Wasafi Label wanafukuzia ndoto ipo siku wimbo mmoja ufikie 1bn views YouTube maana ndani yao imani, juhudi, maarifa na mikakati ya kufika huko ipo ndani ya DNA yao.
 
COMMENT YA TANASHA[emoji13][emoji13][emoji13]

Ni kweli ana views nyingi kwa ujumla kwakuwa anaupload vitu vingi mno, anauploud kuanzia Official Videos/Audios/Interviews/Show zake karibu zote/Behind the scenes/Birthdays [emoji2], yaani haachi kitu. Wenzake kina Davido/Wizkid/BurnaBoy wana videos chache so it's unfair kulinganisha views za ujumla bila kuangalia idadi ya videos walizoupload, fairness ingekuwepo either ungekuwa unalinganisha idadi ya views kwa wimbo mmojammoja ama wangekuwa na idadi sawa ya videos walizoupload.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari njema kwa wapenda maendeleo. Maendeleo hayana Team kwa sauti ya Magufuli. Habari njema ni kwamba kijana anae liwakilisha Taifa letu katika Tasnia ya muziki kajiandikia historia ya kuwa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views 900m You tube.

Nafikiri kuna haja ya watanzania wote kuheshimu mchango wa ndugu yetu huyu bila kujali team za mitandaoni. Nasikitika sana kuona wasanii chipukizi wakilewa sifa wanapo linganishwa na Diamond bila ya kutafakari mafanikio aliyoyafikia Chibu katika muziki. Hivi indicators zote hizi hawazioni na kutambua kuwa katika nchi yetu huyu yupo level ya pekee?

Pongezi kwake Mungu ampe ubunifu zaidi katika kazi zake.View attachment 1397163

Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika?..diamond n mkubwa kuliko davido,starboy,koffi olomide mopao nk?..hahahahahaaaaaaaaaaa...Yesu chelewa kurudiiiii naona HARMO TANGU KAJITOA ANASUASUA KWENYE VIEWERS au ndo yaleeeeeeeeeee yanayosemwaga

Naona unacheka na kujitekenya mwenyewe,haya angalia takwimu hizo za January na February.
82411866_115423629875369_6563507085440526797_n.jpg

87329260_253378362328091_2467989974146350649_n.jpg
 
Najua waKimataifa Diamond Platnumz na team yake nzima ya kina Sallam & co. chini ya Wasafi Label wanafukuzia ndoto ipo siku wimbo mmoja ufikie 1bn views YouTube maana ndani yao imani, juhudi, maarifa na mikakati ya kufika huko ipo ndani ya DNA yao.
1 billion viewers... Hata acheze video ya X hapati robot billion 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom