Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

Ngoja niwajibu Tu kiroho safi nyie vichwa maji , nimesema mashabiki Wana ushawishi pia na sio kwamba ndo wanapiga Kura , support inapokuwa kubwa zaidi unaongeza ushawishi wa kushinda ...mmenielewa nyie viroboto
Sawa naona kashinda huyo daimond
 
Uncle Shamte mbona unapata tabu sana [emoji1787]

Diamond hata watanzania wote wampigie kura hawezi kushinda hiyo BET.

Sasa mtu aliyeshinda Grammy anawezaje kushindwa kupata BET hata kama wewe ndio ungekuwa Judge ?
Kakaaa ahsante
 
Mondi forever,aliye juu yupo juu tu,mmeangukia pua nyinyi mliyetaka aondolewe na hakuondolewa.
Sasa nani kaangukia pua?Inawezekana hizo kelele pia, zimechangia kushindwa kwake, licha ya kutoondolewa kwenye shindano!!Kwani lengo lao limefanikiwa kwani ameshindwa, na ndicho walichokuwa wanataka.
 
Sasa baada ya harakati zenu za kutaka Mondi aondolewe kugonga mwamba sasa mnahamisha magoli,eti kelele zenu ndo sababu ya kukosa tunzo,yani tunzo za BET watumie kelele za masikini wa roho na akili kumnyima tunzo mwananuziki!,unatia aibu asee.
Kwenye ushindani lazima apatikane mshindi mmoja tu ilo kaa uelewe.
 
The ends justify the means!!!
 
Mdomo unaponza kichwa
 
Attachments

  • FB_IMG_16248695917644252.jpg
    FB_IMG_16248695917644252.jpg
    45.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom