Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

Screenshot_20210607-192347-1.jpg
Elfu 8
 
Ila wabongo bila aibu wanampinga mtanzania mwenzao utafikiri mashoga
Shoga ni Yule anaesimama na Serikali na sio wananchi. Mtafaruku WA juzi Nigeria wasanii waliingia barabarani na wananchi. Sisi WA kwetu wanaimba ' Acha nikae kimya'.
 
Burnaboy asiache kuwashukuru lema kigogo na wanaharati wa jf kwa kumpa kura kedekede.

Wale jamaa hawajui tu tz ipo fb na insta huko twitter hakuna mashabiki na wafuatiliaji wa muziki. Huyo kigogo anafahamika na wafatilia siasa viumbe wengi wa fb na insta hata hawamjuagi anahusu nini huyo mtu yaani wako mbali na siasa balaa. Sasa mnamuombea kura burnaboy twitter na jf, lazma aangukie pua tu
 
Shoga ni Yule anaesimama na Serikali na sio wananchi. Mtafaruku WA juzi Nigeria wasanii waliingia barabarani na wananchi. Sisi WA kwetu wanaimba ' Acha nikae kimya'.
Nyinyi wananchi mliingia barabarani kumpinga Magufuli au mnawashwa washwa tu na shobo dundo zenu ?
 
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...

Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa matunda yameanza kuonekana .....

Mashabiki zake wamedhidi kumpambania "Fiercely to the last " ili kushawishi tuzo hyo itue bongo land....

Tunaendelea kumtakia kila lakheri, shujaa wa Africa 🙏View attachment 1808849
Hivi Diamond kaanza kujichubua kama Mama yake?
 
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...

Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa matunda yameanza kuonekana .....

Mashabiki zake wamedhidi kumpambania "Fiercely to the last " ili kushawishi tuzo hyo itue bongo land....

Tunaendelea kumtakia kila lakheri, shujaa wa Africa [emoji120]View attachment 1808849
Hizi ndizo akili halisi za MATAGA kama alivyokuwa boss wao yule wa "Saddam Hussein ni rais wa Kuwait"!!
Vi.laza wa kutupwa.
 
Back
Top Bottom