Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechelewa sana kujua mdau
Kabla hujamzalia rayvan Tayar ushaanza kujitongozesha kwa shemeji mtu? We mwanamke kwel ni mtumbad.
Watu wanajiropokea ropokea tu..
Huyu Aya Nakamura ni hatari..ana nyimbo zenye views 700m+,300m+..inshort ana balaa huyu mtoto wa Kifaransa aliyetokea Gabon.
Ila pia itakuwa maajabu kwa mshindi wa Grammy wa Album bora kutokupata hii ya BET inter. Act
Kwani Mleta mada anaripoti akiwa wapi pengine yupo mitaa ya mama kimbo
Serikali isaidie vijana wapate ajira na kuacha kufanya upumbavu kama huu
Mnateseka mkiwa wapi wazee...!!! Tunaendelea kumsukumia Moto Burnaboy mpak na mashabiki zake ...na tukichukua mhame hii nchi mwende Kwa Burnaboy ..!!Wewe ni kilaza hizo like zinauhusiano gani??!
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...
Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa matunda yameanza kuonekana .....
Mashabiki zake wamedhidi kumpambania "Fiercely to the last " ili kushawishi tuzo hyo itue bongo land....
Tunaendelea kumtakia kila lakheri, shujaa wa Africa 🙏View attachment 1808849
Wewe ulishapumzika kumbeHebu pumzika kidogo kunywa maji baridi upoe kidogo.
Umejidharirsha sana aiseeJua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...
Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa matunda yameanza kuonekana .....
Mashabiki zake wamedhidi kumpambania "Fiercely to the last " ili kushawishi tuzo hyo itue bongo land....
Tunaendelea kumtakia kila lakheri, shujaa wa Africa 🙏View attachment 1808849
Huyu mleta mada kunatatizo mahali[emoji23][emoji23]
Unademka Sana , unataka nimjue Burna boy ili iweje we mla ugoko wa tandahimba....!!! Hebu kaa pembeni kabisa we tikiti majiHivi we kima unamjua Burna Boy?huyo hizo tuzo zote anazo grammy sijui nini za zamani hata hiyo ya sasa hawezi shoboka nayo.
Tuliza matako wewe
Wewe ni kengeMmmmh[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1809652