Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

Diamond anachukua hii tuzo
Chadema sijui wataweka wapi nyuso zao Kama SI ubelgiji
 
Baba levo na wewe kwa kujipandsha hujambo
Tunajipandisha nn asa , unakrupuka tuu hata hoja huna ....!! Nenda shule kasome geography topic moja inaitwa climatology , ni topic inayofungua ubongo Kwa watu vilaza kama wewe
 
Chawa wa domokaya soon watatembea uchi na vyupi kichwani, sio kwa kuwehuka huku khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunajipandisha nn asa , unakrupuka tuu hata hoja huna ....!! Nenda shule kasome geography topic moja inaitwa climatology , ni topic inayofungua ubongo Kwa watu vilaza kama wewe
Lini unamzalia sasa huyo boss wako?
 
Watu wanajiropokea ropokea tu..

Huyu Aya Nakamura ni hatari..ana nyimbo zenye views 700m+,300m+..inshort ana balaa huyu mtoto wa Kifaransa aliyetokea Gabon.

Ila pia itakuwa maajabu kwa mshindi wa Grammy wa Album bora kutokupata hii ya BET inter. Act
Naam mkuu huyo mtoto na Burna ndio nawaona washindi wa hii tuzo kabisa
 
Mondi wapelekee moto mpaka wakajikande na maji ya moto.
 
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...

Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa matunda yameanza kuonekana .....

Mashabiki zake wamedhidi kumpambania "Fiercely to the last " ili kushawishi tuzo hyo itue bongo land....

Tunaendelea kumtakia kila lakheri, shujaa wa Africa 🙏View attachment 1808849
Umeulizwa likes ndiyo kura? 🤣🤣 Jamani km hukijui vzr unachotetea bora ukakaa tu kimya.
 
Back
Top Bottom