Sawa naona kashinda huyo daimondNgoja niwajibu Tu kiroho safi nyie vichwa maji , nimesema mashabiki Wana ushawishi pia na sio kwamba ndo wanapiga Kura , support inapokuwa kubwa zaidi unaongeza ushawishi wa kushinda ...mmenielewa nyie viroboto
Kakaaa ahsanteUncle Shamte mbona unapata tabu sana [emoji1787]
Diamond hata watanzania wote wampigie kura hawezi kushinda hiyo BET.
Sasa mtu aliyeshinda Grammy anawezaje kushindwa kupata BET hata kama wewe ndio ungekuwa Judge ?
Kakaaa ahsanteUncle Shamte mbona unapata tabu sana [emoji1787]
Diamond hata watanzania wote wampigie kura hawezi kushinda hiyo BET.
Sasa mtu aliyeshinda Grammy anawezaje kushindwa kupata BET hata kama wewe ndio ungekuwa Judge ?
Mondi forever,aliye juu yupo juu tu,mmeangukia pua nyinyi mliyetaka aondolewe na hakuondolewa.Kapelekewa yeye sasa, haya kamsaidie kujikanda lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nani kaangukia pua?Inawezekana hizo kelele pia, zimechangia kushindwa kwake, licha ya kutoondolewa kwenye shindano!!Kwani lengo lao limefanikiwa kwani ameshindwa, na ndicho walichokuwa wanataka.Mondi forever,aliye juu yupo juu tu,mmeangukia pua nyinyi mliyetaka aondolewe na hakuondolewa.
Sasa baada ya harakati zenu za kutaka Mondi aondolewe kugonga mwamba sasa mnahamisha magoli,eti kelele zenu ndo sababu ya kukosa tunzo,yani tunzo za BET watumie kelele za masikini wa roho na akili kumnyima tunzo mwananuziki!,unatia aibu asee.Sasa nani kaangukia pua?Inawezekana hizo kelele pia, zimechangia kushindwa kwake, licha ya kutoondolewa kwenye shindano!!Kwani lengo lao limefanikiwa kwani ameshindwa, na ndicho walichokuwa wanataka.
Sijui kimasai ila na wapenda sana wamasaisamahani mkuu, hebu uliza hili swali lako kwa Kimasai.
Nilivaa kama Mganga wa kienyeji lakini wapiiiiiUlitaka avae kanzu kama Alikiba
The ends justify the means!!!Sasa baada ya harakati zenu za kutaka Mondi aondolewe kugonga mwamba sasa mnahamisha magoli,eti kelele zenu ndo sababu ya kukosa tunzo,yani tunzo za BET watumie kelele za masikini wa roho na akili kumnyima tunzo mwananuziki!,unatia aibu asee.
Kwenye ushindani lazima apatikane mshindi mmoja tu ilo kaa uelewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo fire km fire.Khaaaa... yani unamaanisha moto kama moto?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sheeh! tabala doi!
tunaenda uwanja wa ndege kupokea mutoto yetu na tuso atii.
View attachment 1833280
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh kwa kuteseka.Mondi forever,aliye juu yupo juu tu,mmeangukia pua nyinyi mliyetaka aondolewe na hakuondolewa.