Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

Hukua na haja ya kuandika hii aya kabisa. Lakini pia kwakua umeandika nami ninalo la kusema hapa. Kulingana na uzito wa chanzo chako cha taarifa ni imani yangu kwamba wewe unayo nafasi kubwa kukishawishi chanzo chako cha taarifa kianze utaratibu wa kumsaidia kabla ya ku address huku. Kama lengo ni kumsaidia fanya ivyo dada
Huko ni kukichosha chanzo changu. Nimewahi kukiomba kimsaidie msanii mwingine kwenye case kama hiihii ya madawa, njia hii niliyoitumia ndio sahihi kwangu.
 
Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi!

Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala siandiki kama umbea. Hili ni suala serious juu ya kijana mwenzetu huyu maarufu pengine kuliko kijana yeyote kutokea katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya.

Ni nini kimekusibu Naseeb? Kwanini ulifikia uamuzi huo wa kutumbukia huko ulikotumbukia? Imeniumiza sana, kweli!
Mimi sio shabiki wako, ila siwezi kupinga wewe ni Icon, watu wanakutazama kama nembo ya upambanaji!
Na sidhani kama unajua wewe ni mtu mkubwa kiasi gani! Mambo mengi ambayo huwa unafanya yanathibitisha hilo, hili pia likiwemo.

Ndugu unayesoma haya, kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa masuala ya wasanii na maisha yao hasa hapa kwetu Bongo lazima utakuwa umewahi kusikia tetesi za Diamond kutumia madawa ya kulevya, mengi yamesemwa… wengi wamesema.

Alianza Harmonize kipindi wapo kwenye ‘bifu’ kali baada ya kuachana na iliyokuwa label iliyomsimamia katika safari yake ya muziki ambayo mmiliki ni Diamond, kila mtu anajua jinsi mtifuano ulivyokuwa mkali baada ya Harmonize kuondoka.
Na katika mtifuano huo ndipo Harmonize alituhabarisha kuwa Diamond ni mteja wa madawa ya kulevya, binafsi sikuamini na niliomba isiwe kweli.
Sikuamini kwakuwa katika ugomvi kila mmoja atasema lolote la kumuumiza mgomvi wake, haikuwa na mashiko sana.

‘Dada wa Taifa’ Mange nae mwaka huu amehakikisha kwa kujiamini kabisa kuwa Diamond anatumia madawa ya kulevya, amesema hivyo mara nyingi… pia sikuamini.

Sasa baada ya maneno na tuhuma hizo juu yake mimi binafsi nikaingia ‘chimbo’
Kila mmoja ana chanzo chake kikuu cha habari, hasa kwa sisi wadau wa habari zote ngumu na nyepesi…
Nikauliza ili nijihakikishie je ni kweli yanayosemwa!
Nilichoambiwa ndicho kimenifanya niandike hii thread, nilijibiwa kiufupi kabisa, “NI KWELI ANATUMIA”

Siko hapa kubishana wala kumshawishi yeyote akubaliane na chanzo changu, mimi mwenyewe ndio naujua uzito wa chanzo changu hicho nyeti. Kiufupi ni kwamba chanzo changu hiki kikiniambia kesho nitafariki naanza kabisa kutubu!

Lengo kuu ni kuongea na muhusika mkuu, Jamii Forums ni platform kubwa pengine atafikishiwa haya.

Tafadhali Naseeb, badili mwenendo. Bado hujafikia hatua mbaya, unaweza kuacha kuanzia sasa ukarudi ktk hali yako ya kawaida.
Hukuona yaliyomkuta Whitney Houston? Wewe una ukubwa gani kumzidi malkia yule wa muziki wa muda wote?

Mifano ni mingi, kwa maslahi ya Taifa tusingependa siku ifike na wewe tukutolee mfano.
Wewe ndiye unayeujua ukweli zaidi kwanini umefikia hatua hiyo, ila tafakari nafasi yako ulipo na ubadilike.

Nifah
Kumbe bado hujamwona akitumia bali umeambiwa...hivyo unasikia tu bado

"Chimbo" uliloingia halijakusaidia kwa hakika
 
Kwa ile afya aliyo nayo sasa kwenye hii nyimbo mpya aliyoimba na Kofii mwezi uliopita mimi Buskdokta kwa uzoefu wangu wa miti shamba ni ngumu kuamini kwamba jama Hali Sembe.
Mkuu umenena vizuri. Kwa Sisi wazoefu ule wimbo wa Achii umetoa majibu yote. Halafu hii mada siyo ya Kwanza kuhusu Mondi. Kipindi cha Makonda aliitwa Central police kama Mtumiaji ili aeleze anakopata. Iliishia juujuu tukiambiwa kuwa ushahidi ulikosekana. Si kweli. Kijana tumeshampoteza kabisa.
 
Yeah wimbo huo huo Achii
 
Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi!

Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala siandiki kama umbea. Hili ni suala serious juu ya kijana mwenzetu huyu maarufu pengine kuliko kijana yeyote kutokea katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya.

Ni nini kimekusibu Naseeb? Kwanini ulifikia uamuzi huo wa kutumbukia huko ulikotumbukia? Imeniumiza sana, kweli!
Mimi sio shabiki wako, ila siwezi kupinga wewe ni Icon, watu wanakutazama kama nembo ya upambanaji!
Na sidhani kama unajua wewe ni mtu mkubwa kiasi gani! Mambo mengi ambayo huwa unafanya yanathibitisha hilo, hili pia likiwemo.

Ndugu unayesoma haya, kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa masuala ya wasanii na maisha yao hasa hapa kwetu Bongo lazima utakuwa umewahi kusikia tetesi za Diamond kutumia madawa ya kulevya, mengi yamesemwa… wengi wamesema.

Alianza Harmonize kipindi wapo kwenye ‘bifu’ kali baada ya kuachana na iliyokuwa label iliyomsimamia katika safari yake ya muziki ambayo mmiliki ni Diamond, kila mtu anajua jinsi mtifuano ulivyokuwa mkali baada ya Harmonize kuondoka.
Na katika mtifuano huo ndipo Harmonize alituhabarisha kuwa Diamond ni mteja wa madawa ya kulevya, binafsi sikuamini na niliomba isiwe kweli.
Sikuamini kwakuwa katika ugomvi kila mmoja atasema lolote la kumuumiza mgomvi wake, haikuwa na mashiko sana.

‘Dada wa Taifa’ Mange nae mwaka huu amehakikisha kwa kujiamini kabisa kuwa Diamond anatumia madawa ya kulevya, amesema hivyo mara nyingi… pia sikuamini.

Sasa baada ya maneno na tuhuma hizo juu yake mimi binafsi nikaingia ‘chimbo’
Kila mmoja ana chanzo chake kikuu cha habari, hasa kwa sisi wadau wa habari zote ngumu na nyepesi…
Nikauliza ili nijihakikishie je ni kweli yanayosemwa!
Nilichoambiwa ndicho kimenifanya niandike hii thread, nilijibiwa kiufupi kabisa, “NI KWELI ANATUMIA”

Siko hapa kubishana wala kumshawishi yeyote akubaliane na chanzo changu, mimi mwenyewe ndio naujua uzito wa chanzo changu hicho nyeti. Kiufupi ni kwamba chanzo changu hiki kikiniambia kesho nitafariki naanza kabisa kutubu!

Lengo kuu ni kuongea na muhusika mkuu, Jamii Forums ni platform kubwa pengine atafikishiwa haya.

Tafadhali Naseeb, badili mwenendo. Bado hujafikia hatua mbaya, unaweza kuacha kuanzia sasa ukarudi ktk hali yako ya kawaida.
Hukuona yaliyomkuta Whitney Houston? Wewe una ukubwa gani kumzidi malkia yule wa muziki wa muda wote?

Mifano ni mingi, kwa maslahi ya Taifa tusingependa siku ifike na wewe tukutolee mfano.
Wewe ndiye unayeujua ukweli zaidi kwanini umefikia hatua hiyo, ila tafakari nafasi yako ulipo na ubadilike.

Nifah
Kwa sie ambao tuna ndugu walipotelea huko kwenye haya madawa wala hatuna shaka na utumiaji wa dawa kwa mdogo wetu na jirani yetu wa hapo muhalitani(tandale magharibi) jina kongwe hili, na yeye anawajua watu gani pale mtaani walianza kusemwa wanatumia madawa na watu tulipinga ila mwisho wa siku muda ulisema ukweli wote.

Pale mtaani kwetu tandale Nasibu anawajua vizuri tuu watu waliokuwa na tetesi kama hizi zake.
Kuna kipindi miaka kama nane au saba niliambiwa na afisa mmoja hivi wa mamlaka fulani kuhusiana na usafirishaji wa haya madude kutoka SA kupitia K...mu boda huyu dogo anahusika na kwa sasa ni dhahiri yaliyokuwa yakisemwa sasa yanakuja hadharani kidogo kidogo na muda utatuwekea haya bayana.

Ukweli usemwe watu waache unafiki kama ilivyo hapa wamekuja wengi kupinga na kukemea hawa ni watu wenye manufaa na hiyo biashara au wanamuombea mabaya zaidi huyu dogo.
Binafsi mdogo wangu alipotea na tulishamtafuta hatukumpata popote pale na shida na hayo hayo madawa hivyo kwa hali ya jirani yangu huyu ni sawa sawa na alivyokuwa mdogo wangu, sina cha kusema sana ila asaidiwe kama atakuwa tayari kujitoa kwenye hiyo hali.
 
Cocaine is a hell of a drug...

Asije tu akajichanganya akagusa Fentanyl. Na afya ile mgogoro asubuhi na mapema tu parapanda italia.

Na kuna chanjo ya Cocaine WaBrazil wanasema itakuwa tayari hivi karibuni. Labda itamuwahi....

View attachment 2795805
Waitengeneze aisee itasaidia sana hata wale wa heroin wakitengenezewa tutaokoa watu wengi sana. Madawa ya kulevya mimi huwa nayaweka kundi moja na njaa na ugonjwa, they are worse things to ever happen in human kind era.

Tatizo cartels zitakubali? A question for another day…
 
Kwa sie ambao tuna ndugu walipotelea huko kwenye haya madawa wala hatuna shaka na utumiaji wa dawa kwa mdogo wetu na jirani yetu wa hapo muhalitani(tandale magharibi) jina kongwe hili, na yeye anawajua watu gani pale mtaani walianza kusemwa wanatumia madawa na watu tulipinga ila mwisho wa siku muda ulisema ukweli wote.

Pale mtaani kwetu tandale Nasibu anawajua vizuri tuu watu waliokuwa na tetesi kama hizi zake.
Kuna kipindi miaka kama nane au saba niliambiwa na afisa mmoja hivi wa mamlaka fulani kuhusiana na usafirishaji wa haya madude kutoka SA kupitia K...mu boda huyu dogo anahusika na kwa sasa ni dhahiri yaliyokuwa yakisemwa sasa yanakuja hadharani kidogo kidogo na muda utatuwekea haya bayana.

Ukweli usemwe watu waache unafiki kama ilivyo hapa wamekuja wengi kupinga na kukemea hawa ni watu wenye manufaa na hiyo biashara au wanamuombea mabaya zaidi huyu dogo.
Binafsi mdogo wangu alipotea na tulishamtafuta hatukumpata popote pale na shida na hayo hayo madawa hivyo kwa hali ya jirani yangu huyu ni sawa sawa na alivyokuwa mdogo wangu, sina cha kusema sana ila asaidiwe kama atakuwa tayari kujitoa kwenye hiyo hali.
Mpaka sasa bado naumia. Wakati naulizia habari zake nilisisitiza nataka niambiwe sio kweli.
Ni habari iliyoniumiza sana, Mungu aingilie kati aache na kupona kabisa.
 
Kuna siku alitembea na boxer na miwani ya kumpigia mbizi kwenye swimming pool,hapo ndio nilijua huyu mwamba Kuna kitu amelamba.....nilisikia unga ni kama nyeto sa itakuwaje?
Nyeto ukioa au kuolewa unaacha
Kama bado ujaacha basi ujaolewa
 
Mkuu umenena vizuri. Kwa Sisi wazoefu ule wimbo wa Achii umetoa majibu yote. Halafu hii mada siyo ya Kwanza kuhusu Mondi. Kipindi cha Makonda aliitwa Central police kama Mtumiaji ili aeleze anakopata. Iliishia juujuu tukiambiwa kuwa ushahidi ulikosekana. Si kweli. Kijana tumeshampoteza kabisa.
Aliyeitwa ni romy jones sio mond
 
Sasa yeye peke yake ataweza nini? Unajua hii thread imewafikia wangapi?
Ningetaka sifa ningeileta kwa namna ya onyo/ombi?
Si ningeleta kama umbea kwani ungenifanya nini?
Kwani pamoja ivyo nimekufanya nini? Mimi nataka wewe u deal na hicho chanzo kikishindwa ndio uje hapa kumwambia kama kweli nia ilikia kumsaidia. Otherwise uko hapa ili ionekane na wewe ulisema which is sikulaumu kwa lolote. Endelea
 
Nilidhani una habari kuubwa iliyokutia uchungu unaosema, kumbe ni Diamond kula ngada!

Kwani Tuna Wala ngada wangapi nchini na hao hawajakutia uchungu?
 
Back
Top Bottom