Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

Ile siku ya parade la Yanga ndipo niliposhtuka na mimi, ni kama alikuwa high.
Niliogopa sana
Yeaaaah he was…..lean ni noma sana kuna siku lil wayne alibugia lean ya kutosha sasa akaitwa kwenye interview ye kila kitu ye anasema I dont know and he had this weird look na hiyo look ndio kama ile ya mondi that day. Hawa machalii wanahustle hard wanapata hela alafu wanakuja kuwa maslave wa makingpin/druglords mbaya sana aisee
 
Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi!

Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala siandiki kama umbea. Hili ni suala serious juu ya kijana mwenzetu huyu maarufu pengine kuliko kijana yeyote kutokea katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya.

Ni nini kimekusibu Naseeb? Kwanini ulifikia uamuzi huo wa kutumbukia huko ulikotumbukia? Imeniumiza sana, kweli!
Mimi sio shabiki wako, ila siwezi kupinga wewe ni Icon, watu wanakutazama kama nembo ya upambanaji!
Na sidhani kama unajua wewe ni mtu mkubwa kiasi gani! Mambo mengi ambayo huwa unafanya yanathibitisha hilo, hili pia likiwemo.

Ndugu unayesoma haya, kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa masuala ya wasanii na maisha yao hasa hapa kwetu Bongo lazima utakuwa umewahi kusikia tetesi za Diamond kutumia madawa ya kulevya, mengi yamesemwa… wengi wamesema.

Alianza Harmonize kipindi wapo kwenye ‘bifu’ kali baada ya kuachana na iliyokuwa label iliyomsimamia katika safari yake ya muziki ambayo mmiliki ni Diamond, kila mtu anajua jinsi mtifuano ulivyokuwa mkali baada ya Harmonize kuondoka.
Na katika mtifuano huo ndipo Harmonize alituhabarisha kuwa Diamond ni mteja wa madawa ya kulevya, binafsi sikuamini na niliomba isiwe kweli.
Sikuamini kwakuwa katika ugomvi kila mmoja atasema lolote la kumuumiza mgomvi wake, haikuwa na mashiko sana.

‘Dada wa Taifa’ Mange nae mwaka huu amehakikisha kwa kujiamini kabisa kuwa Diamond anatumia madawa ya kulevya, amesema hivyo mara nyingi… pia sikuamini.

Sasa baada ya maneno na tuhuma hizo juu yake mimi binafsi nikaingia ‘chimbo’
Kila mmoja ana chanzo chake kikuu cha habari, hasa kwa sisi wadau wa habari zote ngumu na nyepesi…
Nikauliza ili nijihakikishie je ni kweli yanayosemwa!
Nilichoambiwa ndicho kimenifanya niandike hii thread, nilijibiwa kiufupi kabisa, “NI KWELI ANATUMIA”

Siko hapa kubishana wala kumshawishi yeyote akubaliane na chanzo changu, mimi mwenyewe ndio naujua uzito wa chanzo changu hicho nyeti. Kiufupi ni kwamba chanzo changu hiki kikiniambia kesho nitafariki naanza kabisa kutubu!

Lengo kuu ni kuongea na muhusika mkuu, Jamii Forums ni platform kubwa pengine atafikishiwa haya.

Tafadhali Naseeb, badili mwenendo. Bado hujafikia hatua mbaya, unaweza kuacha kuanzia sasa ukarudi ktk hali yako ya kawaida.
Hukuona yaliyomkuta Whitney Houston? Wewe una ukubwa gani kumzidi malkia yule wa muziki wa muda wote?

Mifano ni mingi, kwa maslahi ya Taifa tusingependa siku ifike na wewe tukutolee mfano.
Wewe ndiye unayeujua ukweli zaidi kwanini umefikia hatua hiyo, ila tafakari nafasi yako ulipo na ubadilike.

Nifah
Diamond anatumia heroine class 1 siyo hilo vumbi la mateja wa Kinondoni Manyanya au Temeke Mwisho. Na hicho ndiyo kipimo cha hela. Huwezi kula heroine ya Diamond kama huna hela.

Muache a enjoy ndiyo wakati wake. Kufa hata wewe unayekunywa uji na juice utakufa tu. Wacha wivu
 
Diamond sio kwamba Madawa ya kulevya yanamharibu ila nikwamba mda wake umefika. Peak yake ndo imeisha sasa anaanza kudrop taratibu mpaka atabaki jina. Amini diamond platnumz akishuka atashuka na wengi sana wale wote ambao ummarafu wao unamtegemea diamond platnumz.
 
Pole sana mkuu.

Natumaini hata nje mnamfuatilia na kumpa support dada yenu.

Mimi kwa kawaida ni mtu wa "live and let live". Basically "kila mtu mzima aubebe msalaba wake mwenyewe".

Na nilipoanza kusoma huu uzi nilipata hisia hizo, nikaona hii ni kama obsession na celebrities.

Ila, nilivyozidi kufikiri zaidi, nikapata picha ya tatizo kubwa zaidi kijamii. Kwamba Diamond anavuma kwa sababu ya umaarufu wake tu, lakini wako wengi.

Kuna namna za kulikabili hili tatizo kimkakati na kimfumo. Mfano, haya madawa yanaingiaje? Nani anahusika?

Kuna wafanyabiashara na watu wakubwa tu wanaoshiriki. Kwa nini hawadhibitiwi?

Unajua mambo mengine ni ya kimazingira tu, ukiwa katika mazingira ambayo pombe ipo nje nje kila siku, ni vigumu kukaa bila kunywa, madawa ya kulevya nayo ni hivyo hivyo.

Tukiweza kudhibiti biashara ya kuingiza madawa ya kulevya nchini, hapo tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Tukishindwa hapo, huku chini lazima kuwe na victims tu, na katika hao victims ndugu zetu na watu wanaotuhusu kwa njia moja au nyingine hawatakosa.
Kama Marekani na nchi zenye mifumo thabiti ya kiusalama ngada Bado Inatembezwa kama Kawa huku uswekeni dawa kama kawaida zitatuua kama tusipojitoa kwenye utumiaji!

Kila kitu huanza na tetesi!

Nakumbuka kipindi chidi benzi anaanza kubwia unga alikuwa anapinga kama kala pilipili kichaa Kwa hasira ila kwasasa ukikutana nae kaisha kawa kama mshale wa kuwindia sungura mbugani!

Muda utaongea

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Hilo lilitakiwa kukufanya uwe na empathy/sympathy zaidi kwa hawa watu.

Nashangaa unavyosema huna hurumankwa hawa watu wakati kwako hili si jambo abstract una mifano ya watu wa karibu.

Watu waliosoma kwa undani haya matatizo wanasema uraibu ni ugonjwa.

Inawezekana tusiuone kuwa ni ugonjwa kwa sababu ninugonjwa wa kisaikolojia zaidi.

Sasa unachofanya hapa ni kusema kwamba huna hurumankwa mgonjwa.

Ni sawa na kusema kwamba humuonei huruma mtu anayeumwa Malaria.
Kama malaria inauzwa na ukaenda kuinunua Sina huruma na wewe!

Same Kwa huyo diamond anatoa Hela yake mfukoni anaenda kununua kitu Kila mtu anajua no hatari!

Ni sawa na mvuta sigara imeandikwa kabisa ni hatari akiumwa akafie mbali huko.

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ww nikuulize swali mazingira ya kazi ya Elon unayafaninisha na ya Diamond? Kumbuka Tz ni nchi inayoendelea ila huyo Elon nchi yake ilishaendelea, je?

Katika utendaji kazi wa kila siku bwana Elon ana vitu wezeshi vingi tena vyenye teknolojia kubwa kuliko ata Diamond mfano ishu ya bandari na Dp, watu wa Dp worldwide wanadai wana mifumo wezeshi kuliko ss wa Tz so ata wakifanya kazi nyingi kwa siku energy wanayotumia inakuwa tofauti na mamlaka husika za bandari wangefanya the applied to Diamond na Elon.

Siwezi kumfaninisha Elon na Diamond maana Elon ni safari nyingine na ndio maana nasema majukumu ya ki ukurugenzi na msanii ndio vinamfanya tumuone Diamond km mnavyodai nyie
Certified idiot

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye maisha ya utafutaji ukisha kuwa na umaarufu mambo Yako yakaanza kukunyookea unapata maadui wengi sana.

Siku zote Bora adui anaejionyesha kuwa yeye ni adui kuliko maadui wanao jificha kwenye mwamvuli wa urafiki.

Naseeb ni mjomba angu kabisa japo anifahamu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maadui zake waliomzunguka ilikuwa ni lazima wahakikishe wanamzima Kwa aina yoyote. Na adui pia Huwa na mipango ya muda mchache ama ya muda mrefu.

Katika haya maisha

Sio Kila sherehe unayo alikwa ni lazima uende nyingine zipotezee Bora wakuone unaringa.

Sio Kila mtu ni wa kumkaribisha nyumbani kwako wengine Bora waishie nje ya geti.

Sio Kila ndugu ni mwema hivyo ni Bora ndugu zako wa kuzaliwa pengine ndio wawe karibu na wewe kuliko wajomba au watoto wao.

Dunia ya Leo imekosa upendo kabisa. Dunia ya sasa ni ya upweke watu awapendi wakuone una furaha, watu wanatamani wakuone umeanguka wakucheke...ujue hakuna mtu anafurahia mafanikio ya mtu. Ukiona mtu anafurahia mafanikio Yako ujue ana masirahi yake binafsi hivyo anaona bila wewe awezi kuishi.

Tumuombee sana huyu kijana najua mwisho wake kama asipo badilika utakuwa kama wa T.I.D ama Chidibenzi[emoji24][emoji24][emoji24]

Ivi unadhani clouds media ambao wana upinzani na Kila media Leo hii wasafi iwe mpinzani namba Moja wa clouds...nao clouds wachekelee...?

Walio sema wachawi siku hizi ni vijana hawakukosea kabisa...! Pole sana Naseeb Abdul...

Sasa mbona hiyo wasafi media miongoni mwa shareholders ni mke wa Joseph kusaga anaemiliki clouds... Sasa hao clouds wanataka kuiua wasafi media Kwa minajiri Gani ?

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Watu humu ndani sisi ni keyboard warriors tu, hatujui hadi biashara inasimama na kuwa namba 1 kwa zaidi ya miaka 10 tena biashara ya zaidi ya mamilioni tuna ona vitu vyepesi vyepesi tu.

Biashara ikienda vibaya ni bora drugs abuse unaweza ku overcome ila biashara tena kubwa ki mtaji na mzunguko wa pesa sio suala dogo.
Wewe ni matacore shwaini wewe eti ni Bora drugs unaweza i-overtake !

Mpumbavu wewe

Whitney Houston kafa kisa madawa

DMX tumempoteza

Diego almando Maradona

Langa kileo tulimzika kisa madawa

Dj Avicci tumempoteza kisa madawa

Wewe matacore usiekuwa na utu unakuja kuonesha upumbavu wako eti drugs unaweza overcome kuliko biashara!

Matacore wewe umenikera sana hujawahi kuwa na wahanga wa madawa mbwa wewe!

Hivi uliwahi kumuona ray C kipindi anasinzia pale Mwananyamala hospital kwenye foleni ya Methadone?

Umekutana na chid benzi umuone alivyo?

Mbwa matako wewe

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Kama malaria inauzwa na ukaenda kuinunua Sina huruma na wewe!

Same Kwa huyo diamond anatoa Hela yake mfukoni anaenda kununua kitu Kila mtu anajua no hatari!

Ni sawa na mvuta sigara imeandikwa kabisa ni hatari akiumwa akafie mbali huko.

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Umesoma wanazuoni wa saikolojia wanavyoelezea uraibu kamanugonjwa?

Au unaongelea kwa uzoefu wako tu na ujinga wa kukosa kujiongeza?

Si kila mtu anaweza kuwa na mental resiliency sawa, unaelewa hilo?

Na kukosa hiyo mental resiliency ndiyo sehemu ya ugonjwa wenyewe.

Unaelewa hilo?

Ukichofanya hapo ni sawa na mzungu aliyetoka Ulaya ambako hakuna Malaria halafu akaanza kuwalaumu Watanzania wanaokaa Tanzania kwenye Malaria kwa kusema kwa nini unaishi nchi yenye Malaria? Bila ya kuelewa kwamba labda yeye kwao Ulaya kuna baridi mbu hawawezi kuishi, si sawa na Tanzania ambako mbu kibao wanaishi.
 
Tatizo mtu mweusi akipokea jambo anapitiliza, wenzetu hawawi addicted sababu wanatumia kiasi na kwa sababu maalum

Unaweza kuona Tramp anatumia kama tiba, wajamaica wameruhusiwa kuvuta bangi ila hakuna machizi, wabongo sasa.

Sasa usishangae Mond pamoja na utajiri na kutumia unga classic kuna siku tutamtia kamba
Ni kweli nilikuwa na washkaji wa south
Bangi na pombe ni weekend tu
Wanasema ukitumia mara kwa mara unakuwa adicted na unakuwa unatumia nyingi ili kupata stem lakini ukivuta mara chache kidogo tu inakutosha inakufanya uwe stem

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi!

Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala siandiki kama umbea. Hili ni suala serious juu ya kijana mwenzetu huyu maarufu pengine kuliko kijana yeyote kutokea katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya.

Ni nini kimekusibu Naseeb? Kwanini ulifikia uamuzi huo wa kutumbukia huko ulikotumbukia? Imeniumiza sana, kweli!
Mimi sio shabiki wako, ila siwezi kupinga wewe ni Icon, watu wanakutazama kama nembo ya upambanaji!
Na sidhani kama unajua wewe ni mtu mkubwa kiasi gani! Mambo mengi ambayo huwa unafanya yanathibitisha hilo, hili pia likiwemo.

Ndugu unayesoma haya, kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa masuala ya wasanii na maisha yao hasa hapa kwetu Bongo lazima utakuwa umewahi kusikia tetesi za Diamond kutumia madawa ya kulevya, mengi yamesemwa… wengi wamesema.

Alianza Harmonize kipindi wapo kwenye ‘bifu’ kali baada ya kuachana na iliyokuwa label iliyomsimamia katika safari yake ya muziki ambayo mmiliki ni Diamond, kila mtu anajua jinsi mtifuano ulivyokuwa mkali baada ya Harmonize kuondoka.
Na katika mtifuano huo ndipo Harmonize alituhabarisha kuwa Diamond ni mteja wa madawa ya kulevya, binafsi sikuamini na niliomba isiwe kweli.
Sikuamini kwakuwa katika ugomvi kila mmoja atasema lolote la kumuumiza mgomvi wake, haikuwa na mashiko sana.

‘Dada wa Taifa’ Mange nae mwaka huu amehakikisha kwa kujiamini kabisa kuwa Diamond anatumia madawa ya kulevya, amesema hivyo mara nyingi… pia sikuamini.

Sasa baada ya maneno na tuhuma hizo juu yake mimi binafsi nikaingia ‘chimbo’
Kila mmoja ana chanzo chake kikuu cha habari, hasa kwa sisi wadau wa habari zote ngumu na nyepesi…
Nikauliza ili nijihakikishie je ni kweli yanayosemwa!
Nilichoambiwa ndicho kimenifanya niandike hii thread, nilijibiwa kiufupi kabisa, “NI KWELI ANATUMIA”

Siko hapa kubishana wala kumshawishi yeyote akubaliane na chanzo changu, mimi mwenyewe ndio naujua uzito wa chanzo changu hicho nyeti. Kiufupi ni kwamba chanzo changu hiki kikiniambia kesho nitafariki naanza kabisa kutubu!

Lengo kuu ni kuongea na muhusika mkuu, Jamii Forums ni platform kubwa pengine atafikishiwa haya.

Tafadhali Naseeb, badili mwenendo. Bado hujafikia hatua mbaya, unaweza kuacha kuanzia sasa ukarudi ktk hali yako ya kawaida.
Hukuona yaliyomkuta Whitney Houston? Wewe una ukubwa gani kumzidi malkia yule wa muziki wa muda wote?

Mifano ni mingi, kwa maslahi ya Taifa tusingependa siku ifike na wewe tukutolee mfano.
Wewe ndiye unayeujua ukweli zaidi kwanini umefikia hatua hiyo, ila tafakari nafasi yako ulipo na ubadilike.

Nifah
domo ameharibu watoto wengi sana na manyimbo yake ya freemason, abadilike kabla hajapata malipo hapahapa duniani.
 
Wewe ni matacore shwaini wewe eti ni Bora drugs unaweza i-overtake !

Mpumbavu wewe

Whitney Houston kafa kisa madawa

DMX tumempoteza

Diego almando Maradona

Langa kileo tulimzika kisa madawa

Dj Avicci tumempoteza kisa madawa

Wewe matacore usiekuwa na utu unakuja kuonesha upumbavu wako eti drugs unaweza overcome kuliko biashara!

Matacore wewe umenikera sana hujawahi kuwa na wahanga wa madawa mbwa wewe!

Hivi uliwahi kumuona ray C kipindi anasinzia pale Mwananyamala hospital kwenye foleni ya Methadone?

Umekutana na chid benzi umuone alivyo?

Mbwa matako wewe

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Pointi Yako ina mashiko ila umeharibu kutukana
 
Matacore ni mama ako
 
Diamond sio kwamba Madawa ya kulevya yanamharibu ila nikwamba mda wake umefika. Peak yake ndo imeisha sasa anaanza kudrop taratibu mpaka atabaki jina. Amini diamond platnumz akishuka atashuka na wengi sana wale wote ambao ummarafu wao unamtegemea diamond platnumz.
Acha vichekesho ndugu, msanii gani anayemkaribia Diamond kwa mafanikio na hatua anazopiga kwenye muziki? Tuzo tu anazoshinda na nominations hakuna msanii bongo amewahi kuzipata ukiacha mauzo ya kazi zake pamoja na endorsement..... au ww peak ya msanii ni kuongelewa na carrymastory na kusifiwa na Mange?
 
Back
Top Bottom