Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...

Sio siri diamond inabidi apewe funzo kwa kula hata miez mitatu jela mana jamaa amejipa nafasi ya kufanya ujinga wowote hapa nchini afu kwenye interview anajiita kioo cha jamii.
anahisi ni mkubwa wa nchi..kisa tu ndo mwanamziki tajiri ...yn jamaa nilikua nampenda...bora tu niwe team kiba
 
Mbona Mr.eazi na wizkid hawajakamatwa ili hali wameshambaza picha za uchi mitandaoni. [emoji23]
 
kazi ipo kweli"" sio mchezo""
 
waweza kuta anammega ..."" hii dunia haijawahi kuacha vituko mkuu""
 
waweza kuta anammega ..."" hii dunia haijawahi kuacha vituko mkuu""
fact mkuu huwezi kulandana mama yako unamheshimu halafu kila siku upo na wanawake tu labda kama yule mama yake ni wa bandia ila kwa kimaadili mond anachofanya ni ujinga kama ni pesa karuhusu zimvue utu wake
 
ndio maana lile choko lina jeuri..sasa serikali inabid ionyeshe mkono wake..ai kuendekeza sifa..huyo dogo ananiona mjanja sababu ya makonda..ss makonda ndio anamtuma au...aache ungese pesa zina.mwsho ...pesa inamtia jeuri
Hana cha Pesa wala nini ni ushamba na uswahili ..

Mbona Mzee Mengi ana Pesa ulishasikia anafanya huo upuuzi..

Alafu huwezi kuwa rafiki ya Bashite ukawa na akili..Ndege wafananao huruka pamoja.
 
Mnajaribu kuzuia mafuriko ya mto Msimbazi baada ya kujenga ofisi za DART na nyumba kama hamjui matokeo?
 
maeleze bila picha ni sawa na kunya bila ya kujiosha...towa picha akiwa amefungwa pingu.. ao uzi uo peleka facebk
 
Diamond kuna mambo anapaswa kuyabadilisha haraka..maana ni wazi yanampotezea mashabiki hasa wakuheshimika.

Kusambaza video zile haikuwa vyema ni kutafuta lawama tuu...
 
fact mkuu huwezi kulandana mama yako unamheshimu halafu kila siku upo na wanawake tu labda kama yule mama yake ni wa bandia ila kwa kimaadili mond anachofanya ni ujinga kama ni pesa karuhusu zimvue utu wake
Ndiyo maana akaitwa mswahili. [emoji23]
 
Hawa watu ambao ni celebrities inabidi wawe wanapigwa faini kubwa sana kwa makosa yao ili iwe fundisho kwa wengine wajinga wanaofanya mambo ya kipumbavu eti tu kwa sababu ni celebrity

Huku London Ant amepigwa faini ya 270m ya kitz kwa kosa la kulewa na kusababisha ajali
Hiyo ni faini kubwa sana lakini kwa kuwa ni celeb iwe fundisho na wawe na adabu

Hitimisho mahakimu wakiletewa watu kama hao aidha ni kifungo bila dhamana au faini ya 100m na kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…