Kukamatwa kwa Dimond na ripoti ya CAG chenye maslahi kwa taifa ni kipi?Wewe ndio unatutoa kwenye reli. Hapa tunajadili msanii Naseeb kukamatwa na polisi. Hayo mambo ya CAG sijui nini anzisha uzi wake tutajadili huko.
Ndiyo uwezo wa kitanzania huo ndugu yangu,habari moja wakati mmoja.Huwa hatuwezi mambo mawili ila tunataka maendeleo.Wewe ndio unatutoa kwenye reli. Hapa tunajadili msanii Naseeb kukamatwa na polisi. Hayo mambo ya CAG sijui nini anzisha uzi wake tutajadili huko.
We umemuona alivyokamatwa au ni matamshi tu kama matamshi mengine kweli diamond akamatwe isipigwe ata picha moja kama evidence.?Mwakyembe amesema kuna baadhi ya wasanii ambao walianza kufanya uhuni ndani ya mitandao akiwemo mwanamuziki nyota wa muziki, Diamond ambae tayari amekamatwa na Jeshi la Polisi na anahojiwa kutokana na picha alizozungusha.
Pia Mwakyembe amesema pia imebidi binti Nandy naye akamatwe kisha kuhojiwa na wanaangalia namna ya kuwapeleka mahakamani.
Mwakyembe ametoa wito kwa vijana kuwa mitandao sio kokoro la kupeleka uchafu wote ambao umezuiwa na sheria zingine na nchi ina utamaduni wake ambapo inahitajika kulindwa kizazi cha sasa na cha kesho cha Taifa hili.
Akiuliza swali, mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga alitaka kujua kauli ya Serikali juu kukithiri kwa ushoga na kutukana matusi mithili ya bomu la nyuklia ambayo sio maadili ya mtanzania na team za matusi ikiwemo za Wema, Zari, Diamond na Shilole.
Mwakyembe amesema sheria ya EPOCA ilitungwa mwaka 2010 lakini zilikosekana kanuni za kubana maudhui hasa upande wa mitandao. Amesema kanuni zimeshatungwa na zimeanza kufanya kazi.
Amefika hapo na kuitwa 'kioo cha jamii' kwa kufanya hayo unayoyasema. Tuwashangae wanaomshangaa. Bila hayo hakuna Diamond!Naungana na serikali wadakwe tu ule uchafu kabisa isitoshe diamond kioo cha jamii na ana familia kutwa analandana na mama yake kila kona hamuogopi mama yake yale matukio ukiacha watoto alaonao? staha kidogo iwepo hasa mama yake anaisha nae kama msela wake kosa
Unazani ni rahisi kama kutafuna karangaapigwe hata 5 kavu ili ajifunze mtoto hana adabu
MKUU kajamaa ndio kana zid kutrend tuJinga sana haka kajamaa kameshajiona labda ni maarufu sana kanafanya kila ya ujinga na kiburi...bora wakashughulikie...
Duh! Umeongea kwa hasira kwelikweliMTU mweusi,shida sana,yaani tunapoteza rasilimali za Serikali,kushughurika na video chafu za wasanii,!!!
Hili swala ingeachiwa basata iwaite iwapige faini basi,sio swala la kuongelea mjengoni?
Kama maadili,yalikufa tangu enzi za mereremeta,kiwila,ambayo mzee baba alijimirikisha,escrow,Richmond,
Badala ya kuuliza maswala magumu kama,wasiojurikana wa Tundu lisu wapo wapo?,unauliza kuhusu kwichi kwichi za diamond,kama mnaona wivu,nendeni awapige na muhogo wa ja'ngombe,
Dar mafuriko kila kona,mikopo ya elimu ya juu haitoshi,ajira hakuna,Kilimo hakituripi,
USA anauza nyama China,sisi tunashindwa nini kuuza SA,SADC yote?
Yaani tumeshindwa hata kutatua tatizo la mafurikovJangwani,tatizo nimeanza kulisikia tangu 1990s,yaani wahandisi wote wa ujenzi,hakuna ambaye anaweza kuleta project ya kutatua shida hii,hizi story kwamba watu wamejenga kwenye mkondo wa MTO ni za kitoto,karne hii kuna inchi ilisukuma maji ya bahari ili kupata ardhi ya kufanyia kilimo,China wanajenga visiwa baharini,sisi tuna shindwa kuzuia maji yasiende kwenye makazi ya watu,
Mpaka Leo tunajiuliza tufundishe kwa kiswahili au Kiingereza,hoja sio aina ya lugha,Tatizo letu hata tukifundisha kwa swhili,kama hakuna waalimu wazuri,tutafeli tu,maana kama ishu ni lugha mama,mbona hata hicho kiswahili,watoto wanafeli tu.
Tuongeze lugha,mtoto akimaliza darasa la saba,aweze kupiga,vizuri kiingereza,kifaransa,Ki China,
Kwa ufupi hatujawahi kufundisha kiingereza vizuri kwenye shule za msingi za umma,kingefundishwa vzr,tusingepata shida watoto wakienda secondari,
Tuache kuwaza mambo ya faragha ya vijana,tuwaze mambo mazito
MTU mweusi,shida sana,yaani tunapoteza rasilimali za Serikali,kushughurika na video chafu za wasanii,!!!

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Labda kosa ni kuvaa kufuli oversize.
100anahisi ni mkubwa wa nchi..kisa tu ndo mwanamziki tajiri ...yn jamaa nilikua nampenda...bora tu niwe team kiba
"There is a way in every situation, stay strong daddy is comming" paul makonda 2017