Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tatizo ni kwamba mnamfuatilia sana...Diamond kuna mambo anapaswa kuyabadilisha haraka..maana ni wazi yanampotezea mashabiki hasa wakuheshimika.
Kusambaza video zile haikuwa vyema ni kutafuta lawama tuu...
hahaaa daaahh "" sasa 0712 si wake "" au huwa wana msaidia kunya"""?Wakuuu nimesikia kuwa diamond na nandy watapelekwa mahakani Kwa kosa la maadili OK nandy najua ni kufanya ngono kinyume na maumbile tena hadharani Lakini hiii Ya diamond sijainyaka naomba kujulishwa huyu Kijana diamond kafanyaje tena?
hahaaa daaahh "" sasa 0712 si wake "" au huwa wana msaidia kunya"""?Wakuuu nimesikia kuwa diamond na nandy watapelekwa mahakani Kwa kosa la maadili OK nandy najua ni kufanya ngono kinyume na maumbile tena hadharani Lakini hiii Ya diamond sijainyaka naomba kujulishwa huyu Kijana diamond kafanyaje tena?
hatari sana ...wanashindwa kutoa maelezo stahiki ya kutueleza trillion1 .5 zilipopelekwa...usikute nao wanatamani kuwa billnasi...akili zao wanazijua wenyewe waleimagine
hawana kazi za kufanya hawa mawaziri, wanakula kodi zetu bure,sijui tumelogwa na nani, wako wanapoteza muda ku discuss chupi ya Nandy na video za Dai
Walimu wa shule ya msingi kibonde majiNdio akina nani hao?
wanafiki sana Hawa watu "" umeshtukia chezo eeehh ??Waandishi Wa habari wamekosa picha ya diamond akikamatwa na kuachiwa na polisi.
Tumeambiwa tu juu juu.kwamba diamond kakamatwa.na sasa kaachiwa.
KIFO CHA DAUDI BALALI.
ile familia ..shetani ni jirani yaomama yk.mwenyewe ana miliki kiben 10.. tena anaambatana nae na mond akiwemo..utawaambia nn...
hawa watu "" hatari sana aiseee...Mange anazidi kupotezwa na ile kitu uake ya 26/4 hahahaha muvi nyingine za kidwanzi sana
Tuna tatizo kubwa kama jamii. Kosa la aina hii likitokea tunamlaumu msichana huku tukimwacha mvulana kama hausiki vile.Hapo sasa maana Billnas si ndiyo alikuwa anapiga gitaa kwenye tigo ya Nandy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda lakini sio sawa kabisa akamatwe Nandy huku mwenzie akiachwa.Labda kosa ni kuvaa kufuli oversize.
Tuna tatizo kubwa kama jamii. Kosa la aina hii likitokea tunamlaumu msichana huku tukimwacha mvulana kama hausiki vile.
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Mpaka sasa sijaona utupu wa zile video. Mademu wote walikua wamevaa nguo, diamond peke ndo alikua kifua wazi... Sasa sijui ni kosa mwanume kuwa kifua wazi, au kuna jingine????Sio siri diamond inabidi apewe funzo kwa kula hata miez mitatu jela mana jamaa amejipa nafasi ya kufanya ujinga wowote hapa nchini afu kwenye interview anajiita kioo cha jamii.
Una akili sana tangu mwaka uanze Dai amejadiliwa mara nyingi Bungeni kuliko masuala mengine ya muhimu. Bunge linajipendekeza? msiniite Dodoma.Mpaka sasa sijaona utupu wa zile video. Mademu wote walikua wamevaa nguo, diamond peke ndo alikua kifua wazi... Sasa sijui ni kosa mwanume kuwa kifua wazi, au kuna jingine????
26.4 iko pale pale nasikiaaa
Aliyeruhusu sewage system yake kuchezewa ndiye mwenye kosaTuna tatizo kubwa kama jamii. Kosa la aina hii likitokea tunamlaumu msichana huku tukimwacha mvulana kama hausiki vile.
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app