Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...

Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...

Mwaka huu utaisha kwa kumtaja mondi tu...

Kama hata bunge limefika huku hii ni hatari.

Watanzania fanyeni kazi.
 
Diamond kuna mambo anapaswa kuyabadilisha haraka..maana ni wazi yanampotezea mashabiki hasa wakuheshimika.

Kusambaza video zile haikuwa vyema ni kutafuta lawama tuu...
Mkuu tatizo ni kwamba mnamfuatilia sana...

Yani hata Bunge sasa linakesha Insta kwa Mondi!?
 
Wakuuu nimesikia kuwa diamond na nandy watapelekwa mahakani Kwa kosa la maadili OK nandy najua ni kufanya ngono kinyume na maumbile tena hadharani Lakini hiii Ya diamond sijainyaka naomba kujulishwa huyu Kijana diamond kafanyaje tena?
hahaaa daaahh "" sasa 0712 si wake "" au huwa wana msaidia kunya"""?
 
imagine
hawana kazi za kufanya hawa mawaziri, wanakula kodi zetu bure,sijui tumelogwa na nani, wako wanapoteza muda ku discuss chupi ya Nandy na video za Dai
hatari sana ...wanashindwa kutoa maelezo stahiki ya kutueleza trillion1 .5 zilipopelekwa...usikute nao wanatamani kuwa billnasi...akili zao wanazijua wenyewe wale
 
Waandishi Wa habari wamekosa picha ya diamond akikamatwa na kuachiwa na polisi.
Tumeambiwa tu juu juu.kwamba diamond kakamatwa.na sasa kaachiwa.
KIFO CHA DAUDI BALALI.
wanafiki sana Hawa watu "" umeshtukia chezo eeehh ??
 
Diamond amepaniwa sana, inabidi alijue hili na atulie. Nandi na bill Nas walionekana hawana hatia ila kafanya yeye imekua hot. Awe makini anatafutwa kila kona.
 
Sio siri diamond inabidi apewe funzo kwa kula hata miez mitatu jela mana jamaa amejipa nafasi ya kufanya ujinga wowote hapa nchini afu kwenye interview anajiita kioo cha jamii.
Mpaka sasa sijaona utupu wa zile video. Mademu wote walikua wamevaa nguo, diamond peke ndo alikua kifua wazi... Sasa sijui ni kosa mwanume kuwa kifua wazi, au kuna jingine????

26.4 iko pale pale nasikiaaa
 
Una akili sana tangu mwaka uanze Dai amejadiliwa mara nyingi Bungeni kuliko masuala mengine ya muhimu. Bunge linajipendekeza? msiniite Dodoma.
 
Back
Top Bottom