Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...

Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...


Waziri wa Habari, Harrison Mwakyembe, amesema msanii Diamond Platnumz alikamatwa jana kwa makosa ya kusambaza picha zilizokosa maadili mitandaoni na sasa anahojiwa na polisi.

Akizungumza bungeni leo Aprili 17, Waziri Mwakyembe amesema serikali imeshatunga sheria inayowabana wasanii na kudhibiti maudhui yasiyo na maadili mitandaoni.


Mbali na hilo Mwakyembe ameagiza msanii mwingine Nandi kusakwa na polisi akisisitiza kauli yake kuwa Tanzania siyo kokoro la uchafu.
Ametoa kauli hiyo wakati anajibu swali la nyongeza la mbunge wa Ulanga Godluck Mlinga aliyetaka kujua serikali ina mkakati gani kukomesha tabia za baadhi ya watu wanaotumia mitandao vibaya ikiwemo kuhamasisha masuala ya ushoga.
Awali serikali ilitaja changamoto kubwa inayolikabili taifa ni athari ya utamaduni wa nje katika maadili, mila na desturi za Mtanzania kutokana na kuwepo na muingiliano mkubwa wa watu duniani.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Juliana Shonza wakati akijibu swali la mbunge, Nuru Awadh Bafadhili.
Mbunge huyo alitaka kujua serikali ina mkakati gani madhubuti wa kuhakikisha vijana wa Kitanzania wanasimamia maadili.
Hata hivyo Shonza amesema kinacholeta shida hadi nyimbo kuwa hazina maadili ni tabia ya wasanii kutopeleka nyimbo zao kuhaririwa katika baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)
 
Upelelezi gani ukikamilika? Mtu ametuma video kibao kwenye akaunti yake ya insta mnataka upelelezi upi? Weka Ndani huyo pimbi.
 
Mimi ni shabiki wake ila sasa kazidi, anafanya mambo mengi ya kijinga bila hofu kwakuwa yuko mgongoni mwa Bashite, ni wakati sasa atiwe adabu kidogo bila kujali umaarufu wake
 
wapi kakamatwa ? mbona naona kaja na gali lake na anaondoka nalo pia
 
BBC wameripoti hii kwa mtazamo kwamba Tanzania sasa hivi ni nchi ya hovyo, and rightly so...!

Kwa ufupi:

Five things about Diamond Platnumz:
  1. One of East Africa's richest musicians
  2. Popularised "bongo flava", Tanzanian hip hop
  3. Sold second-hand clothes before he found fame
  4. Recently launched his own TV and radio station
  5. 4.5 million followers on Instagram
Diamond Platnumz is in trouble for a kiss
 
Tumeshakata mirija wakoloni mambo leo BBC mnaotumika kukosoa Tanzania tumeshakuwa waelewa pelekeni kiss zenu huko ulaya
 
Duh wao wameona kiss tu kwenye zile video aiseee
 
hahahaha yani kiss tu inaleta gumuzo wakati ndo inchi yenyewe inaongoza kwa kufir********
 
team kibakuri wana mind eti hawaongelei anything about kiba100 weding
 
Back
Top Bottom