Diamond Platnumz hamishia shughuli zako Marekani kwa muda

Kuna interview alifanya Burnaboy akasema “wasanii wengi waache kuimbia fans wa home na Africa kwa ujumla, wafocus na international watapata mafanikio zaidi. Sasa nikiangalia ndugu yetu napata maswali mengii..
 
Y
imagine imagine!! Huwa nasikiliza mno interview za wanamuzik.. hawa kina Fireboy, burna, wizkid Rema wanatafuta watu wa production(mostly Us, jamaica)hadi ngoma ikamilike na ikitoka ni kitu.. anasema ana pesa basi ainvest basi, binafsi nimechoka ile kila wimbo ayo laizer 🤣🤣🤣🤣
 
Autotune imeharibu wasanii wengi… huyo Daimond sidhani kama anaweza imba 30 mins na live band.
 
Too late, it's endgame for them now.
 
Sharamdala ukichangia sana watasema una chuki
🤣🤣🤣🤣 sio kwa ubaya. Ila ukweli usemwe. Kuna huyu mtu Asake hakuna alikuwa anamjua 2018, amekuja toa album last year..dunia nzima inamjua sasa.
 
Sharamdala, kwa Tanzania wasanii wanajitengenezea ukubwa wao na records zao baada ya hapo wana"relax". Nigeria kila siku kuna wasanii wapya na wanafanya vizuri, kwasasa tunaogopa kusema Marioo ni mkubwa zaidi ya Rema, Asake amefikisha mziki wake mbali kuliko Alikiba na hata Ayrra Star kuwa ni msanii mkubwa kuliko Ruby. Ukweli unabaki kuwa sisi bado tunajitekenya wenyewe, msanii mwingine yeye ndo alileta kituko cha mwaka ndani ya dakika 1 alipata zaidi ya views 200k 😂
 
Ruby 🤣🤣🤣, anaona kuimba kwa high note ndio kujua kuimba. Anapiga kelele.. Ayra is something else
 
Kuna kipindi B Dozen wakati bado ajatimkia Efm aliwahi kusema Marioo ndiye 'Ed Sheeran' wa bongoflava. Licha yakutofikia viwango vya mziki vya huko majuu bado tuna copy za wasanii wao, yaani unakuta mtu anaingia studio wanaokoteza chords wakiwa na producer then inanyongwa beat na baada ya hapo wimbo unatoka.

kuna kipande kidogo cha mziki kwenye series ya Merlin ambacho kinaitwa Merlin burries Sir Lancelot, kwenye hii instrumental umepigwa mziki tu (tena uliotulia), sasa kama ukitulia na kuwaza tu tena kwa sauti hivi kweli Maneke/S2kizzy/Yogo/Abbah/Kapipo au maproducer wengine wakiitwa kuwa kama maproducer wakuu wa instrumentals za Series ya GOT wanaweza kutokea kweli au hata kusimama mbele na kujiita maproducer?
 
Hatuoni unachoandika unaandika kama hutaki jamani ongeza ukubwa wengine hawali mboga na karoti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi machawaa mmeshajua kuwa Domokayaa amwshukaa ki music bas sawaaaaah.

Kwishaaaaa kabisaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…