Chukua hata uraia wa marekani kwa muda ukane huu wa bongo.
ukifika kule anzia chini kabisa,jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo.
imba hata barabarani na na kwenye mikusanyiko ya watu wengi fanya show za bure,fanya interview kwenye radio na tv stations za huko hata kwa kulipia.
hapa utapata mafans wa kustream kazi zako kwenye platform zinazolipa kama i tunes, n.k
jifunze namna wenzetu wanavyo sambaza kazi zao,wanavyotengeza pesa nyingi uje ulete mbinu bongo.
miaka michache ijayo utakuwa msanii bilionea in dollar kama akina drake na justin beiber na dunia nzima itawajua akina mama dangote na uncle shamte na utauza reality show kama wanavyofanya kina kim kadashian.
utapiga show kwenye kumbi kubwa zaidi duniani huko paris, london kwa sold out na utakuza uchumi wa tanzania na sanaa yake kwa ujumla.
hata akina wizkid watakuja kuomba collabo na utakuwa na kiburi mbele ya ccm.
au mnasemaje madau??