Diamond Platnumz hamishia shughuli zako Marekani kwa muda

Chukua hata uraia wa marekani kwa muda ukane huu wa bongo.

ukifika kule anzia chini kabisa,jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo.

imba hata barabarani na na kwenye mikusanyiko ya watu wengi fanya show za bure,fanya interview kwenye radio na tv stations za huko hata kwa kulipia.
hapa utapata mafans wa kustream kazi zako kwenye platform zinazolipa kama i tunes, n.k

jifunze namna wenzetu wanavyo sambaza kazi zao,wanavyotengeza pesa nyingi uje ulete mbinu bongo.

miaka michache ijayo utakuwa msanii bilionea in dollar kama akina drake na justin beiber na dunia nzima itawajua akina mama dangote na uncle shamte na utauza reality show kama wanavyofanya kina kim kadashian.

utapiga show kwenye kumbi kubwa zaidi duniani huko paris, london kwa sold out na utakuza uchumi wa tanzania na sanaa yake kwa ujumla.

hata akina wizkid watakuja kuomba collabo na utakuwa na kiburi mbele ya ccm.

au mnasemaje madau??
Kuna interview alifanya Burnaboy akasema “wasanii wengi waache kuimbia fans wa home na Africa kwa ujumla, wafocus na international watapata mafanikio zaidi. Sasa nikiangalia ndugu yetu napata maswali mengii..
 
Y
Strategies za masoko ya mziki haziko hivyo ulivyoandika, kuna watu wengi wanafanya wanachofanya huko huko U.S.A ila bado hawajatoboa. Shida ni kwamba umemuweka Diamond kwenye viwango ambavyo hayupo hivyo unajikuta hauridhishwi na hiki anachokifanikisha.
Kwasasa aamue kuinuka kama mwimbaji wa Bongofleva au mwimbaji wa aftobeats, na baada ya kufanikisha hapo akazie sana tena sana kwenye audio production na marketing (Kilometre na 23 za Burna Boy zinaonekana kuwa na uhai mkubwa kuliko Wonder ya Dplatnumz, si kwa ubaya akiongeza mkazo kwenye production na market anaenda).
Production ya bongo inamng'ang'ania S2kizzy mpaka anajikuta anapoteza ubunifu (though sio kila msanii ufanya kazi kwa s2kizzy).

No offence intended (kama utaanza kufuka moshi fanya hivyo at your own cost and time)
imagine imagine!! Huwa nasikiliza mno interview za wanamuzik.. hawa kina Fireboy, burna, wizkid Rema wanatafuta watu wa production(mostly Us, jamaica)hadi ngoma ikamilike na ikitoka ni kitu.. anasema ana pesa basi ainvest basi, binafsi nimechoka ile kila wimbo ayo laizer 🤣🤣🤣🤣
 
Una mawazo mazuri ila tukiangalia uhalisia ni kwamba haiwezekani!
Hata tuweke positivity mbele haiwezekani!
1.lugha kwa huyo jamaa haipandi
2.anajua kuimba nyimbo za makelele tupu..amelowea kwenye utamaduni wa kiswahili sio wa kishua kama wakina davido..
3.kupata uraia marekani ni ngumu saana...inaweza kuchukua miaka.
4.mwanamuziki mwenye jina east Africa nzima hadi west akaanze kukaa kwenye zege mtaani anaimba anarushiwa shilingi .does it make sense?
Autotune imeharibu wasanii wengi… huyo Daimond sidhani kama anaweza imba 30 mins na live band.
 
Chukua hata uraia wa marekani kwa muda ukane huu wa bongo.

ukifika kule anzia chini kabisa,jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo.

imba hata barabarani na na kwenye mikusanyiko ya watu wengi fanya show za bure,fanya interview kwenye radio na tv stations za huko hata kwa kulipia.
hapa utapata mafans wa kustream kazi zako kwenye platform zinazolipa kama i tunes, n.k

jifunze namna wenzetu wanavyo sambaza kazi zao,wanavyotengeza pesa nyingi uje ulete mbinu bongo.

miaka michache ijayo utakuwa msanii bilionea in dollar kama akina drake na justin beiber na dunia nzima itawajua akina mama dangote na uncle shamte na utauza reality show kama wanavyofanya kina kim kadashian.

utapiga show kwenye kumbi kubwa zaidi duniani huko paris, london kwa sold out na utakuza uchumi wa tanzania na sanaa yake kwa ujumla.

hata akina wizkid watakuja kuomba collabo na utakuwa na kiburi mbele ya ccm.

au mnasemaje madau??
Too late, it's endgame for them now.
 
Sharamdala ukichangia sana watasema una chuki
🤣🤣🤣🤣 sio kwa ubaya. Ila ukweli usemwe. Kuna huyu mtu Asake hakuna alikuwa anamjua 2018, amekuja toa album last year..dunia nzima inamjua sasa.
 
Sharamdala, kwa Tanzania wasanii wanajitengenezea ukubwa wao na records zao baada ya hapo wana"relax". Nigeria kila siku kuna wasanii wapya na wanafanya vizuri, kwasasa tunaogopa kusema Marioo ni mkubwa zaidi ya Rema, Asake amefikisha mziki wake mbali kuliko Alikiba na hata Ayrra Star kuwa ni msanii mkubwa kuliko Ruby. Ukweli unabaki kuwa sisi bado tunajitekenya wenyewe, msanii mwingine yeye ndo alileta kituko cha mwaka ndani ya dakika 1 alipata zaidi ya views 200k 😂
 
Ruby 🤣🤣🤣, anaona kuimba kwa high note ndio kujua kuimba. Anapiga kelele.. Ayra is something else
 
Kuna kipindi B Dozen wakati bado ajatimkia Efm aliwahi kusema Marioo ndiye 'Ed Sheeran' wa bongoflava. Licha yakutofikia viwango vya mziki vya huko majuu bado tuna copy za wasanii wao, yaani unakuta mtu anaingia studio wanaokoteza chords wakiwa na producer then inanyongwa beat na baada ya hapo wimbo unatoka.

kuna kipande kidogo cha mziki kwenye series ya Merlin ambacho kinaitwa Merlin burries Sir Lancelot, kwenye hii instrumental umepigwa mziki tu (tena uliotulia), sasa kama ukitulia na kuwaza tu tena kwa sauti hivi kweli Maneke/S2kizzy/Yogo/Abbah/Kapipo au maproducer wengine wakiitwa kuwa kama maproducer wakuu wa instrumentals za Series ya GOT wanaweza kutokea kweli au hata kusimama mbele na kujiita maproducer?
 
Hatuoni unachoandika unaandika kama hutaki jamani ongeza ukubwa wengine hawali mboga na karoti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi machawaa mmeshajua kuwa Domokayaa amwshukaa ki music bas sawaaaaah.

Kwishaaaaa kabisaaaa.
 
Back
Top Bottom