Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mkristo na yeye kamzalilisha yesuKatuudhi au katuudhi wewe? Kwani wewe ndio Msemaji wa watanzania wewe na mtoa mada acheni udini ngoma yenyewe hata ujaielewa alafu una comment
Tuwe na ustaarabu na imani za wengine. Huyo Muhamadi akiimbwa kwa staili hiyo patakalika??!!! Acha utani kabisa. Hiyo fasihi aiimbe kwenye mitusi yake.Lugha ya fashii hiyo
Hapa umemaanisha nini? Je Muislam anakufurishwa kwa kuimba muziki?
Naam ni kweli. Ila Muislam anakufurishwa kwa kuimba muziki?kuimba muziki ni kinyume na mafundisho ya uislam hilo halina shaka
Aisee unazingua hata kama hauamini huko sio vizuri kutoa maneno haya..tuheshimu vya watu hata kama ww unaona haupati msaada navyo
Ndio, Yesu alikuwa mwizi wa mbao. Au hujui kwamba Biblia inasema Yesu alikuwa fundi selemara?
Stori ya ukweli ni kwamba, jamaa alikuwa anawalia timing wauza mbao alfajiri anawaibia, kuna siku wakaamua leo hatulali mpaka tumjue mwizi wetu nani. Ndio wakamlamba alfajiri alfajiri wakambebesha mbao zake kumpeleka kwa Pilato. Ndio hapo wanasema hoo Yesu kabeba msalaba, NO, zile ni mbao zake alizoiba, we kama hujui ndio nakufamisha sasa.
Udini Ni wewe na mtoa mnaoingiza me mkristo tena Ni mrutherani na nimesikiliza uwo wimbo wote siona wapi ambapo diamond amekashifu labda tu uwe ujaelewa Nini kimazungumziwaKwanza huo wimbo bado upo??!!! Basata wako kimya bado??!!! Huyu dogo kama kaishiwa cha kuimba asitafute attension kwa kuingilia imani za wengine. Linakera hili.
Ebu tuoneshe Yesu amedhalilishwaje?Mimi ni mkristo na yeye kamzalilisha yesu
Samahani Inno naomba unieleweshe mimi pia sijaelewa.Katuudhi au katuudhi wewe? Kwani wewe ndio Msemaji wa watanzania wewe na mtoa mada acheni udini ngoma yenyewe hata ujaielewa alafu una comment
mrutherani - MlutheraniUdini Ni wewe na mtoa mnaoingiza me mkristo tena Ni mrutherani na nimesikiliza uwo wimbo wote siona wapi ambapo diamond amekashifu labda tu uwe ujaelewa Nini kimazungumziwa
People who blasphemy always never ends well. Daimond start that let's see the reply from Jesus(The king of God glory).
Daudi Mchambuzi kwenye huo wimbo diamond achokuwa anamaanisha Ni kwamba amechora picha ya Kama Ni yeye alikuwa na mwanamke na huyo mwanamke alikuwa anamletea visa vingi ikiwemo kumsaliti akasema amesalitiwa Ni Kama Petro alivyomsaliti yesu ikiwa anamaanisha Yesu alimuamini Sana Petro lakini baadae Petro akamsaliti Ni Kama yeye alivyomuamini Sana huyo mwanamke wake lakini nae akasalitiwa sasa hapo Yesu kazalilishwaje? Biblia ipo kaajili ya kuakisi maisha yetuSamahani Inno naomba unieleweshe mimi pia sijaelewa.
Mathayo 12
31 Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa.
"amekuwowa" ndio gari gani?Okay, tuwekee picha ya mumeo ambae. amekuwowa.