Diamond Platnumz hili la kumfananisha demu (msichana) wako na Yesu (Mungu) utuombe radhi wakristo na utubu au wimbo wake ufungiwe na BASATA

Diamond Platnumz hili la kumfananisha demu (msichana) wako na Yesu (Mungu) utuombe radhi wakristo na utubu au wimbo wake ufungiwe na BASATA

Acheni Miungu au Mungu ajitetee mwenyewe nyie mnahangaika wakati yeye ananguvu kuwashinda nyinyi,anafahamu kushinda nyinyi Sasa na ajitetee mwenyewe maana sifa moja wapo ya Mungu ni kujitetea so hata msijishughulishe.
 
Kwanza huo wimbo bado upo??!!! Basata wako kimya bado??!!! Huyu dogo kama kaishiwa cha kuimba asitafute attension kwa kuingilia imani za wengine. Linakera hili.
 
Aisee unazingua hata kama hauamini huko sio vizuri kutoa maneno haya..tuheshimu vya watu hata kama ww unaona haupati msaada navyo


Ndio, Yesu alikuwa mwizi wa mbao. Au hujui kwamba Biblia inasema Yesu alikuwa fundi selemara?
Stori ya ukweli ni kwamba, jamaa alikuwa anawalia timing wauza mbao alfajiri anawaibia, kuna siku wakaamua leo hatulali mpaka tumjue mwizi wetu nani. Ndio wakamlamba alfajiri alfajiri wakambebesha mbao zake kumpeleka kwa Pilato. Ndio hapo wanasema hoo Yesu kabeba msalaba, NO, zile ni mbao zake alizoiba, we kama hujui ndio nakufamisha sasa.
 
Unaweza kuudhibitisha ukweli wa hii story?
Ndio, Yesu alikuwa mwizi wa mbao. Au hujui kwamba Biblia inasema Yesu alikuwa fundi selemara?
Stori ya ukweli ni kwamba, jamaa alikuwa anawalia timing wauza mbao alfajiri anawaibia, kuna siku wakaamua leo hatulali mpaka tumjue mwizi wetu nani. Ndio wakamlamba alfajiri alfajiri wakambebesha mbao zake kumpeleka kwa Pilato. Ndio hapo wanasema hoo Yesu kabeba msalaba, NO, zile ni mbao zake alizoiba, we kama hujui ndio nakufamisha sasa.
 
Kwanza huo wimbo bado upo??!!! Basata wako kimya bado??!!! Huyu dogo kama kaishiwa cha kuimba asitafute attension kwa kuingilia imani za wengine. Linakera hili.
Udini Ni wewe na mtoa mnaoingiza me mkristo tena Ni mrutherani na nimesikiliza uwo wimbo wote siona wapi ambapo diamond amekashifu labda tu uwe ujaelewa Nini kimazungumziwa
 
People who blasphemy always never ends well. Daimond start that let's see the reply from Jesus(The king of God glory).


Wewe bado ni kipofu sana ndio maana unaamini hivyo. Yesu angekuwa real deal wazungu wasingemwacha, we si unajua wao walioleta stories zake Afrika? We si unajua wazungu watu wa maslahi sana. Tena huyo Yesu angekuwa ni kweli basi ujue Waafrika tungelipia, we si unawajua wazungu! We unafikiri watakupa faida burebure tu?
Mi naishi nao huku, hakuna mtu yeyote anayekwenda kanisani. Makanisa wameyafanya appartements, bar, restaurant, maduka na vitu kama hivyo. Hawana habari za huo upuuzi tena.
 
Samahani Inno naomba unieleweshe mimi pia sijaelewa.
Daudi Mchambuzi kwenye huo wimbo diamond achokuwa anamaanisha Ni kwamba amechora picha ya Kama Ni yeye alikuwa na mwanamke na huyo mwanamke alikuwa anamletea visa vingi ikiwemo kumsaliti akasema amesalitiwa Ni Kama Petro alivyomsaliti yesu ikiwa anamaanisha Yesu alimuamini Sana Petro lakini baadae Petro akamsaliti Ni Kama yeye alivyomuamini Sana huyo mwanamke wake lakini nae akasalitiwa sasa hapo Yesu kazalilishwaje? Biblia ipo kaajili ya kuakisi maisha yetu
Percy
Lord Diplock MR
PAGAN
joseph1989
 
Kuna watu mmejaa ujinga hadi mnakera!

Na ni ujinga unaotokana na kukosa maarifa!!

Mtu katumia neno Halelujah, mkatoka povu wakati hilo ni neno tu!!

Na Waislamu wenyewe, kwa mujibu wa maandiko yao, Yesu wanamkubali na ndio maana hata kwenye Quran kuna sura kadhaa zinazomhusu Yesu na mama yake!!

Sasa ni nani aliyewapa mamlaka ya kudhani Yesu ni kwa ajili ya Wakristo peke yake>?

Mlivyo majuha jambo kama hilo angefanya Myahudi mngefurahia! Yaani kufanya Mwislamu anayemuamini Yesu kama Mtume wa Mungu kwenu ni nongwa, lakini angefanya Myahudi anayemchukulia Yesu kama Shetani tu, mngefurahia... very stupid!!

Na mlivyokosa maarifa mnashindwa kabisa kuangalia context aliyoitumia kumtaja Yesu kama Mwokozi... sasa kinachowafanya mtoke povu ni nini kama sio upumbavu tu wa kuendekeza mambo yasiyo na maana?!

Na Mwislamu aki-mind Mkristo kumtaja Muhammad atakuwa yupo sahihi kwa sababu Mkristo anaamini Muhamad kama Shetani tu, kwahiyo hamuwezi kumtaja kwa wema wakati Mwislamu hawezi kumtaja Yesu kwa namna ya kumkashifu kwa sababu imani yake inamtaka amuamini Yesu kama Mtume wa Mwenyezi Mungu!

Lakini kwa upande mwingine, hata huyo Mwislamu atakaye-mind ndo walewale tu, mithili ya Wakristo wanaotoka povu hapa!!!

Miafrika ndo maana tunakuwa majinga majinga hivi hivi... tunajifanya tunazijua hizi dini kuliko hata waliotuletea dini zenyewe!!
 
Mathayo 12
31 Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa.


Wewe ushapotezwa na ukosefu elimu unakusumbua. Elimu sio kwenda shule, unaweza ukawa na Master degree lakini ukawa bado hujitambui.
 
Ndio kajimaliza mwenyewe kabisa. Mungu wetu hapiganiwi hujipigania mwenyewe hivyo wacha tuone Mungu atamfanya nini sisi tukae kimnya. Ila katika yote Bwana Yesu Mungu mkuu na mfalme anahubiriwa.
 
Back
Top Bottom