Diamond Platnumz, hujui kuvaa

Diamond Platnumz, hujui kuvaa

Mkuu tenda wema mnunulie nguo nzuri za staha mpelekee kwake
Dah mi labda kumtungia nyimbo aache kuimba matusi ila kumnunulia nguo hapana acha tu avae manguo yake ila hayampendezi
 
Mkuu Uwe unajipa muda wa kuangalia fashion show za ma designer wakubwa kama kina Versace utamuelewa tu kijana anapopita....
Uko sahihi ila siwapendi madesigner wengi ni mashoga,bora nijichagulie mwenyewe casual smart
 
Wallai nikiokota begi la nguo LA koffi Olomide namrejeshea.
Ndio anakoenda Dimond
 
Back
Top Bottom