Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
πππππakili za kuku maji hizi.
sasa mimi nimchukie diamond nipate faida gani???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππakili za kuku maji hizi.
sasa mimi nimchukie diamond nipate faida gani???
We angalia hiyo interview una muona kabisa diamond ana maono ya mbali na anafikiria vikubwa kufanya hii ndio sababu inayonifanya ni mkubali huyu mwamba na hiyo ndio tofauti yake na wasanii wengine.Wasanii wengi wameridhika na promo za redio wanazopata hapa nyumbani hawawazi mbele mondi atawaburuza mpaka vichwa vyao vikawe sana mfano joh makini aliaza vizuri kupitia kazi yake ya don't bother aliyoifanya na aka wa south Africa video ilikuwa Ina quality ya juu, mdundo mkali nikaona huyu jamaa atafika mbali kimataifa leo huko wapi? the same as fid q na alikiba.akili za kuku maji hizi.
sasa mimi nimchukie diamond nipate faida gani???
oya Juma Lukole, mimi nakubali hustle za Diamond na ni kweli anafanya makubwa mno anapaswa kupewa heshima kubwa.We angalia hiyo interview una muona kabisa diamond ana maono ya mbali na anafikiria vikubwa kufanya hii ndio sababu inayonifanya ni mkubali huyu mwamba na hiyo ndio tofauti yake na wasanii wengine.Wasanii wengi wameridhika na promo za redio wanazopata hapa nyumbani hawawazi mbele mondi atawaburuza mpaka vichwa vyao vikawe sana mfano joh makini aliaza vizuri kupitia kazi yake ya don't bother aliyoifanya na aka wa south Africa video ilikuwa Ina quality ya juu, mdundo mkali nikaona huyu jamaa atafika mbali kimataifa leo huko wapi? the same as fid q na alikiba.
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee
#Pumba
oya Juma Lukole mimi nakubali hustle za Diamond na ni kweli anafanya makubwa mno anapaswa kupewa heshima kubwa.
haya nenda kaoshe vyombo vinajaza nzi hapo jikoni.
ππ[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee
#Pumba
π€£ππ€£et juma lokole nimecheka kinoumaoya Juma Lukole mimi nakubali hustle za Diamond na ni kweli anafanya makubwa mno anapaswa kupewa heshima kubwa.
haya nenda kaoshe vyombo vinajaza nzi hapo jikoni.
We jamaa utakua ni mmoja wa wale waliokua wanataka Rava4 na mil 5 kwa mwezioya Juma Lukole, mimi nakubali hustle za Diamond na ni kweli anafanya makubwa mno anapaswa kupewa heshima kubwa.
haya nenda kaoshe vyombo vinajaza nzi hapo jikoni.
sawa esma.We jamaa utakua ni mmoja wa wale waliokua wanataka Rava4 na mil 5 kwa mwezi
πππππ Sawa Numbisasawa esma.
Sasa kiba menej wake matungapesa unategemea nini?team kiba mnahitajika huku !!
Basi basi Jaman Diva wangu, punguza hasira, Juma lukole me hata huwa simpendi na wala hata cjawah pata wazo lakuw nae hata kama unahs lbd n shoga.Kwahy punguza wivu babe, usiwe unachukia watu bure bila sababu.Haya emb nenda katandike kitanda leo nataka nikukaze vizr maana umeniumbua san kwenye social media.Hahaha nakupenda sana Diva wanguoya Juma Lukole, mimi nakubali hustle za Diamond na ni kweli anafanya makubwa mno anapaswa kupewa heshima kubwa.
haya nenda kaoshe vyombo vinajaza nzi hapo jikoni.
[emoji23][emoji23]Dah haka kajamaa kanatu-outsmart Sana tuliopita pita vyuoni. Shame on us
πππππ Sawa Numbisa
πππππ Nyie watu mnanifurahisha mno mlivyo hater[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ Nyie watu mnanifurahisha mno mlivyo hater