Diamond Platnumz interview with Sports Arena (Exclusive)

akili za kuku maji hizi.

sasa mimi nimchukie diamond nipate faida gani???
We angalia hiyo interview una muona kabisa diamond ana maono ya mbali na anafikiria vikubwa kufanya hii ndio sababu inayonifanya ni mkubali huyu mwamba na hiyo ndio tofauti yake na wasanii wengine.Wasanii wengi wameridhika na promo za redio wanazopata hapa nyumbani hawawazi mbele mondi atawaburuza mpaka vichwa vyao vikawe sana mfano joh makini aliaza vizuri kupitia kazi yake ya don't bother aliyoifanya na aka wa south Africa video ilikuwa Ina quality ya juu, mdundo mkali nikaona huyu jamaa atafika mbali kimataifa leo huko wapi? the same as fid q na alikiba.
 
oya Juma Lukole, mimi nakubali hustle za Diamond na ni kweli anafanya makubwa mno anapaswa kupewa heshima kubwa.

haya nenda kaoshe vyombo vinajaza nzi hapo jikoni.
 
We jamaa utakua ni mmoja wa wale waliokua wanataka Rava4 na mil 5 kwa mwezi
 
oya Juma Lukole, mimi nakubali hustle za Diamond na ni kweli anafanya makubwa mno anapaswa kupewa heshima kubwa.

haya nenda kaoshe vyombo vinajaza nzi hapo jikoni.
Basi basi Jaman Diva wangu, punguza hasira, Juma lukole me hata huwa simpendi na wala hata cjawah pata wazo lakuw nae hata kama unahs lbd n shoga.Kwahy punguza wivu babe, usiwe unachukia watu bure bila sababu.Haya emb nenda katandike kitanda leo nataka nikukaze vizr maana umeniumbua san kwenye social media.Hahaha nakupenda sana Diva wangu
 
Eti "WASAFI football club ''😁😁😁😁😁😁

Mungu amsaidie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nyie watu mnanifurahisha mno mlivyo hater
 
Back
Top Bottom