HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,554
Diamond hajasoma na inawezekana sio mbunifu, lakini kumbuka ana watu wa karibu waliosoma na wabunifu pia, na wanamshauri mambo mengi mazuri...siamini kila kitu anafanya yeye na mawazo mengi ya uwekezaji hayakua yake, kuna watu wanamuongoza, ameajiri watu wabunifu na wenye akili wamfanyie kazi.....bado diamond ana advantage tu as long as ana pesa..pesa ni kila kitu ubunifu watakusaidia wengine we tulia tu..hata ruge anaajiri watu wenye akili wamfanyie kazi sio ubunifu wakePumbavu huna macho yakuona mbali,usinilaumu!
Media inahitaji ubunifu&pesa
Huyo kijana hana hakili wala simbunifu!
Sijui umezaliwa mwaka gani,ila kumbuka kabla ya Clouds kulikuwa na Radio One,Radio free,kuliuwa na akina Majizo,Misanya bingi,Aboubakari sadiki,akina John dilinga.Leo hii wapo wapi.Kwa hiyo unataka kuniambia wabunifu wapo clouds pekee yao au ina maana Mungu watu wa mwisho kuwaumba wabunifu tz wapo Clouds peke yake? Usikariri Mungu ni wa wetu sote na siku zote anaona juhudi za mtu anayejituma,jamaa zenu wana hali mbaya huo ndio ukweli mwenyewe na bado Azam nao wanafungua Radio yao washapewa Frequency na TCRA.Pumbavu huna macho yakuona mbali,usinilaumu!
Media inahitaji ubunifu&pesa
Huyo kijana hana hakili wala simbunifu!
Point!Diamond hajasoma na inawezekana sio mbunifu, lakini kumbuka ana watu wa karibu waliosoma na wabunifu pia, na wanamshauri mambo mengi mazuri...siamini kila kitu anafanya yeye na mawazo mengi ya uwekezaji hayakua yake, kuna watu wanamuongoza, ameajiri watu wabunifu na wenye akili wamfanyie kazi.....bado diamond ana advantage tu as long as ana pesa..pesa ni kila kitu ubunifu watakusaidia wengine we tulia tu..hata ruge anaajiri watu wenye akili wamfanyie kazi sio ubunifu wake
Subiri atakavyoendesha hiyo redio yake kwa hasara,Sijui umezaliwa mwaka gani,ila kumbuka kabla ya Clouds kulikuwa na Radio One,Radio free,kuliuwa na akina Majizo,Misanya bingi,Aboubakari sadiki,akina John dilinga.Leo hii wapo wapi.Kwa hiyo unataka kuniambia wabunifu wapo clouds pekee yao au ina maana Mungu watu wa mwisho kuwaumba wabunifu tz wapo Clouds peke yake? Usikariri Mungu ni wa wetu sote na siku zote anaona juhudi za mtu anayejituma,jamaa zenu wana hali mbaya huo ndio ukweli mwenyewe na bado Azam nao wanafungua Radio yao washapewa Frequency na TCRA.
Endelea kupiga ramli, hao jamaa zako Clouds washapita alpha, hivi sasa wanaelekea omega na bado Azam radio ipo njiani. Kama wangekuwa na mawazo kama yako ya kuogopa hasara leo hii tungekuwa na Radio Tanzania pekee yake, tusingekuwa na Clouds, kijana bila kuthubutu mafanikio utaishia kuyaona kwa wenzio.Point!
Subiri atakavyoendesha hiyo redio yake kwa hasara,
Diamond hana tv
Usiku wa Sugu Dodoma weekend hii j Jmosi...Live Wasafi TV!......Clouds lazima wakaeclouds wanapumuliwa kisogoni ndo maana wana bifu za kisichana sichana, watapata tabu sana huku konkie master, kule efm hapa wasafi mara paap sugu nae analudi na ant virus
Huyu dogo utaishia kumuombea mabaya lakini strong base yake ni mamilioni ya mashabiki/social media followers walio naye bega kwa bega. Ana fan base kubwa hata maeneo ambayo clouds media haifahamiki,haifiki na wala haina influence. Star yoyote anaweza kushuka lakini kwa nini umuombee mabaya kijana anaye hustle day in day out na yupo kwenye level ambayo vijana wengi wa Kitanzania wangekuwa wamebweteka labda hata na kuingia kwenye uteja? Tuchukue mifano ya talents ambazo through and through zina backup ya clouds media ie;Barnaba Classic mbona wanashindwa kumvusha zaidi ya pale alipo? Uwanja wa mtu kutamba na ku'mushroom uko zaidi kwenye social media zaidi ya TVs na Radios kwa sasa, kama Vanessa na Jux waliweza kufanya matamasha wenyewe yakawa almost the same level na fiesta za clouds unadhani watu wa strategies kama kina Salam hiyo Wasafi festival(which is planned to be international) itakuwa ya kiwango gani? Usipende kuombea wenzio mabaya,hata majority ya wengi(si wote) wenye anti-Diamond sentiment ni sababu ya wivu wa mafanikio yake na hasira kwa nini kadri wanavyoombea ashuke kimuziki ndiyo anazidi kupaa. Ukitaja big names kwa sasa katika muziki wa Afrika huwezi kuliacha jina la Diamond, acha aendelee kupiga mabao locally na internationally.
Hakili ndio nini?Pumbavu huna macho yakuona mbali,usinilaumu!
Media inahitaji ubunifu&pesa
Huyo kijana hana hakili wala simbunifu!
Hilo ndo lakujivunia ngumbaru?hahaha ngumbaru!Hakili ndio nini?
Rudi shule kwanza Kiongozi.
Kajifunze kwanza kusoma na kuandika vizuri kabla ya kuja kutukana watu humu jukwaani.
Ahahaaah.Hilo ndo lakujivunia ngumbaru?hahaha ngumbaru!
Pumbavu huna macho yakuona mbali,usinilaumu!
Media inahitaji ubunifu&pesa
Huyo kijana hana hakili wala simbunifu!
Lakini unaisikilizaclouds radio ya mashoga
Unakielewa ulichokiandika?? Jide hajawapigiaga magoti??? Nafikiri unaishi Tanzania ya Mng'aro huko chakaJide mbona hajawapiagia magoti na anapeta tu kwa kutangaza show zake kupitia Instagram na mambo yanakwenda...by the way mleta uzi unawaza mambo mabaya tu badala mawazo ya kujenga, kwanini isiwe kwamba kuja kwa WASAFI FM ni fursa ya kushirikiana na CLOUDS FM kwa baadhi ya mambo ya maendeleo