Sijui umezaliwa mwaka gani,ila kumbuka kabla ya Clouds kulikuwa na Radio One,Radio free,kuliuwa na akina Majizo,Misanya bingi,Aboubakari sadiki,akina John dilinga.Leo hii wapo wapi.Kwa hiyo unataka kuniambia wabunifu wapo clouds pekee yao au ina maana Mungu watu wa mwisho kuwaumba wabunifu tz wapo Clouds peke yake? Usikariri Mungu ni wa wetu sote na siku zote anaona juhudi za mtu anayejituma,jamaa zenu wana hali mbaya huo ndio ukweli mwenyewe na bado Azam nao wanafungua Radio yao washapewa Frequency na TCRA.