Diamond hajasoma na inawezekana sio mbunifu, lakini kumbuka ana watu wa karibu waliosoma na wabunifu pia, na wanamshauri mambo mengi mazuri...siamini kila kitu anafanya yeye na mawazo mengi ya uwekezaji hayakua yake, kuna watu wanamuongoza, ameajiri watu wabunifu na wenye akili wamfanyie kazi.....bado diamond ana advantage tu as long as ana pesa..pesa ni kila kitu ubunifu watakusaidia wengine we tulia tu..hata ruge anaajiri watu wenye akili wamfanyie kazi sio ubunifu wake
Huyo mondi nawewe mmenizidi upumbavuAhahaaah.
Kwani wewe unajivunia kipi mpaka ukathubutu kumuita Diamond mpumbavu?
Kipi ambacho umemzidi Diamond?
Yes mziki wa simba utaendelea kusumbua sana!Chibu ataendelea kuwasumbua sana
Ahahaaah!!!Huyo mondi nawewe mmenizidi upumbavu
Najivunia kutokuwa mpumbavu!
Ngumbaru unaonekana unapenda sana mipasho!Ahahaaah!!!
Hivi unajua hata maana ya neno MPUMBAVU kijana?
Pamoja na kwenda shule, lakini hadi leo haujui kusoma wala kuandika vizuri, alafu bado unasema unajivunia kutokua mpumbavu!?
Ajabu!!!
Ubunifu upi unaoutaka?,hiyo wasafi media kwani imesha anza kurusha vipindi mpaka useme ubunifu ni zero?,ikianza kurusha vipindi ndo inapaswa u-judge lakini hupaswi kusema kitu sasa hivi wakati unaona kabisa ndo wanaanza.Naongelea mafanikio ya ki media wewe unaongelea mafanikio ya kimziki vinaendana?
NB:watu wenye status ya senior huwa weupe kwenye mada nyingi hapa jukwaani
Ubunifu upi unaoutaka?,hiyo wasafi media kwani imesha anza kurusha vipindi mpaka useme ubunifu ni zero?,ikianza kurusha vipindi ndo inapaswa u-judge lakini hupaswi kusema kitu sasa hivi wakati unaona kabisa ndo wanaanza.
#TUMIA AKILI USITUMIE KAMASI
Aliyesema Wasafi siyo yao nani?Kumbe wasafi TV siyo yao?
Hilo bichwa unatumia kufugia nywele tu ee?
Unajua maana ya neno MPUMBAVU?Ngumbaru unaonekana unapenda sana mipasho!
Yawezekana unamiliki kadegree na upo mtaani jua Kali!,inawezekana!
Kuwa na hivyo vyote hakukufanyi usiwe "MPUMBAVU"
Unajua maana ya neno MPUMBAVU?
Nini maana yake?Why not?
Wewe ni mgeni hapa JF?Unazungumzia diamond yupi?? Kama ni huyuhuyu ambaye ameweza kuwasimamisha lavalava na mbosso bila hizo radio zenu. Basi utakuwa unamkosea heshima maana mpaka hapa tulipofikia mawingu ndo wanapaswa wamuombe msamaha jamaaa maana kawaprove wrong
Nimjibu mpumbavu maana ya upumbavu?Nini maana yake?
MPUMBAVUAliyesema Wasafi siyo yao nani?
NINA MASHAKA SANA NA AKILI YAKO
Samahani mkuuAliyesema Wasafi siyo yao nani?
NINA MASHAKA SANA NA AKILI YAKO